zwangandaba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 747
- 1,404
Ukiacha meta 2 mwanzako anachukua hizo 2 halafu anakuja kuunga kwakoKwenye kiwanja hutakiwi kujenga mwisho kabisa usawa wa mawe ya mipaka, unashauriwa uingie ndani walau mita2, mtu akikufuata huko means amevuka kiwanja chako, wewe umejengaje mkuu