The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Ivi hizi sheria zakijinga za mita 1.5 huwa ni wajinga gani huwa walipitiasha hiyo sheria.. huku nchi zilizoendelea hakuna mita 1.5 wala nini ni ukuta kwa ukuta, hizo mita ndio vichochoro vya waiziKiwanja kimepimwa?
Kama kimepimwa je uliacha mita 1.5 kutoka kwenye jiwe la mpaka?
Kama uliacha hiyo mita 1.5 basi anakuingilia angalia sheria inasemaje. Iwapo viwanja havijapimwa pia je ulijenga fensi kwenye mpaka kabisa au ikoje?