Jirani anataka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu

Wakuu habari zenu,

Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya fensi sasa kimbembe anataka aongeze kozi kadhaa za tofali kwenye fensi yangu ambayo ninataka iishie hpo ilipo na niweke zile electric wire au urembo wa fensi ninao utaka Mimi.

Hivyo ananiharibia plan za kutengeneza fensi ninayoitaka Mimi, mbya zaidi Niko mbali na nyumbani, kwani nyumba nimeijenga huko kanda ya ziwa na Mimi Niko hapa mjin Dar. Ninapomuambia asubiri nirudi ili nione anachotka kufanya anakuwa haelewi...

Kwa mazingira haya nashindwa kumuelewa kabisa kwani kama kiwanja anacho kikubwa kuliko Mimi. Hebu nishaurini maana ugomvi sipendi lakni naona ananichokoza to the maximum.
Mimi sio Nabii ila huyo jirani yako lazma atakuwa ana vinasaba vya Kilimanjaro. Hao ndio wataalam sana wa kugombea mipaka 🤣
 
Wastani ni mita mbili kila upande, Sheria za ujenzi na ardhi zinataka hivyo. Malengo ya hili suala ni mengi ka vile kupata accessibility ya magari ya zimamoto wakati wa ajali za moto, way leave ya mtandao wa umeme, maji safi na maji taka, gas pipeline, kudhibiti kusambaa kwa ajali za moto kwa majirani, etc.
Hii hapa sijaielewa, kila upande tuache 2m ili magari yapite, kwani hakuna barabara za mitaa zinazofikisha kila nyumba?

Hata mitaa iliyopimwa sijaona wakiacha 2m kila upande.
 
Sheria zinasema hivyo, isipokuwa mazoea ya watu wengi yapo kinyume na hivyo. Sheria ni kitu kimoja na utekelezaji wa Sheria ni kitu kingine.
 
Acha huo ujinga, siku akitaka kuuza nyumba atauza na hiyo fensi yako.
Wakuu habari zenu,

Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya fensi sasa kimbembe anataka aongeze kozi kadhaa za tofali kwenye fensi yangu ambayo ninataka iishie hpo ilipo na niweke zile electric wire au urembo wa fensi ninao utaka Mimi.

Hivyo ananiharibia plan za kutengeneza fensi ninayoitaka Mimi, mbya zaidi Niko mbali na nyumbani, kwani nyumba nimeijenga huko kanda ya ziwa na Mimi Niko hapa mjin Dar. Ninapomuambia asubiri nirudi ili nione anachotka kufanya anakuwa haelewi...

Kwa mazingira haya nashindwa kumuelewa kabisa kwani kama kiwanja anacho kikubwa kuliko Mimi. Hebu nishaurini maana ugomvi sipendi lakni naona ananichokoza to the maximum.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Kuna shida? Huwa ni kawaida tuu mkikubaliana badala ya kuacha chochoro zisizo na msingi.

Inawezekana ukawa mtu wa Mbeya wewe,nyie ni wabishi sana na wajuaji.
Ndugu ujenge fensi alafu yeye aje aiendeleze kweli... !? Maana ya wewe kuweka fensi ni nini kama inajengwa na kuwa nyumba..
 
Wakuu habari zenu,

Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya fensi sasa kimbembe anataka aongeze kozi kadhaa za tofali kwenye fensi yangu ambayo ninataka iishie hpo ilipo na niweke zile electric wire au urembo wa fensi ninao utaka Mimi.

Hivyo ananiharibia plan za kutengeneza fensi ninayoitaka Mimi, mbya zaidi Niko mbali na nyumbani, kwani nyumba nimeijenga huko kanda ya ziwa na Mimi Niko hapa mjin Dar. Ninapomuambia asubiri nirudi ili nione anachotka kufanya anakuwa haelewi...

Kwa mazingira haya nashindwa kumuelewa kabisa kwani kama kiwanja anacho kikubwa kuliko Mimi. Hebu nishaurini maana ugomvi sipendi lakni naona ananichokoza to the maximum.
Mkuu mwache ajenge akimaliza we nenda kabomoe fensi yako, alaf jenga choo pale pale ulipovunja ukuta au jenga banda la nguruwe kwenye eneo lako, mkuu adui unayemuweza usimwachie mungu
 
Wakuu habari zenu,

Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya fensi sasa kimbembe anataka aongeze kozi kadhaa za tofali kwenye fensi yangu ambayo ninataka iishie hpo ilipo na niweke zile electric wire au urembo wa fensi ninao utaka Mimi.

Hivyo ananiharibia plan za kutengeneza fensi ninayoitaka Mimi, mbya zaidi Niko mbali na nyumbani, kwani nyumba nimeijenga huko kanda ya ziwa na Mimi Niko hapa mjin Dar. Ninapomuambia asubiri nirudi ili nione anachotka kufanya anakuwa haelewi...

Kwa mazingira haya nashindwa kumuelewa kabisa kwani kama kiwanja anacho kikubwa kuliko Mimi. Hebu nishaurini maana ugomvi sipendi lakni naona ananichokoza to the maximum.

Mtendaji, Balozi, majirani wenye busara, vyote hivyo umeshindw mpaka uje jamii kweli? Kama una mheshimu sana, tafuta wazee wa Kitaa mjadili, mumfuate, sio utaratibu anavyofanya.
 
Wakuu habari zenu,

Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya fensi sasa kimbembe anataka aongeze kozi kadhaa za tofali kwenye fensi yangu ambayo ninataka iishie hpo ilipo na niweke zile electric wire au urembo wa fensi ninao utaka Mimi.

Hivyo ananiharibia plan za kutengeneza fensi ninayoitaka Mimi, mbya zaidi Niko mbali na nyumbani, kwani nyumba nimeijenga huko kanda ya ziwa na Mimi Niko hapa mjin Dar. Ninapomuambia asubiri nirudi ili nione anachotka kufanya anakuwa haelewi...

Kwa mazingira haya nashindwa kumuelewa kabisa kwani kama kiwanja anacho kikubwa kuliko Mimi. Hebu nishaurini maana ugomvi sipendi lakni naona ananichokoza to the maximum.
Wewe fensi umejenga mpakani kabisa au kwenye upande wako?
Kama ni mpakank basi chochote kilicho upande wake kwenye huo ukuta anaweza kufanya chochote.

Lakin still atakua na limitations fulani. Mfano haruhusiwi kuweka bati zitakazo zidi kwako
 
Wakuu habari zenu,

Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya fensi sasa kimbembe anataka aongeze kozi kadhaa za tofali kwenye fensi yangu ambayo ninataka iishie hpo ilipo na niweke zile electric wire au urembo wa fensi ninao utaka Mimi.

Hivyo ananiharibia plan za kutengeneza fensi ninayoitaka Mimi, mbya zaidi Niko mbali na nyumbani, kwani nyumba nimeijenga huko kanda ya ziwa na Mimi Niko hapa mjin Dar. Ninapomuambia asubiri nirudi ili nione anachotka kufanya anakuwa haelewi...

Kwa mazingira haya nashindwa kumuelewa kabisa kwani kama kiwanja anacho kikubwa kuliko Mimi. Hebu nishaurini maana ugomvi sipendi lakni naona ananichokoza to the maximum.
Weka picha
 
Back
Top Bottom