Jirani anataka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu

Kwenye kiwanja hutakiwi kujenga mwisho kabisa usawa wa mawe ya mipaka, unashauriwa uingie ndani walau mita2, mtu akikufuata huko means amevuka kiwanja chako, wewe umejengaje mkuu
Ukiacha meta 2 mwanzako anachukua hizo 2 halafu anakuja kuunga kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…