Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hivi;hizo picha huwa mmeziandaa kabisa au mkisoma tu uzi mnawahi kutafuta tukio mfanano?🤣🤣🤣🙏Mnapishana tu au syo
View attachment 3125504
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi;hizo picha huwa mmeziandaa kabisa au mkisoma tu uzi mnawahi kutafuta tukio mfanano?🤣🤣🤣🙏Mnapishana tu au syo
View attachment 3125504
pole ndio maisha.Kama kichwa cha habari kinavyoeleza z, unaweza kumpata jirani anafuga, inawezekana ikawa kuku, ng’ombe, bata nk.
Mifugo inatoa harufu inayoambatana na inzi, harufu inaweza kukukatisha hamu ya kula na unashindwa kupunga upepo nje ya nyumba yako kwa kero ya inzi pamoja na harufu.
Unapolalamika jirani hakuelewi kwakua ng’ombe wanampatia maziwa na yeye ndiye muuzaji wa maziwa Mtangi.
Ukizingatia viwanja vyetu vya uswahilini hivi vya 20x20. Unawaza ningejua nitakutana na haya nisingenunua kiwanja hapa.
Kuku kwanza jogoo anakuamsha ile saa ya usingizi mzito na wala huna safari, kama unashighuli za kufanya unaweza kusema hii ndiyo alarm yako asubuhi.
Kuna jirani alikua anapika mama ntilie, mchana moshi wote unaingia sebuleni kwangu. Nilipomambia masikitiko yangu alianza kuniimbia nyimbo za vijembe. Ilibidi nipeleke malalamiko yangu kwa kiongozi wa mtaa. Baada ya kupata ujumbe kutoka serikali ya mtaa, amehamisha sehemu ya kupikia lakini sikuhizi hatusalimiani. Nimepata adui mpya.
Licha ya kupiga kelele , mpira wao ukiangukia kwenye fence yako wanategemea uwarushie, na ukiwarushia baada ya dakika tano wamerusha tena.Usiombe ukae jirani na shule ya nursery vile vitoto🤣vikianza kupiga kelele na hapo unakuta labda siku hiyo umepumzika hutaki kelele utaisoma namba
Anaye miliki noah ni nomaaa.kitimoto unakula au huli?
Mnunulishe nyumba yako vinginevyo asifuge.Kuna jirani hapa anataka kufuga nguruwe karibu kabisa na nyumba yangu, hivi hii imekaaje?
Kuna sehemu moja mtaa wa pili jamaa mmoja anafuga nguruwe harufu iliyopo pale hata ukiwa nyumba ya 5 kutoka kwake harufu inafika sasa sijui yule jirani wa karibu anaishije harufu mbaya kinoma mimi mpita njia tu sikuhizi nimebadili njia

Hakuna nguruwe msafi nguruwe mwenyewe tu ni takataka toshaHao wachafu Kuna jamaa Yuko maeneo tena ushuani ana nguruwe 20 hamna hata harufu nguruwe wasaf sana
kanga ndo wana kelele balaaUkuta sasa anayefuga manguruwe🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Yana makelele yale madude😢
Sili.kitimoto unakula au huli?
alhamdu LillahSili.
Jifunzeini kununua maeneo makubea nje ya mjiKama kichwa cha habari kinavyoeleza z, unaweza kumpata jirani anafuga, inawezekana ikawa kuku, ng’ombe, bata nk.
Mifugo inatoa harufu inayoambatana na inzi, harufu inaweza kukukatisha hamu ya kula na unashindwa kupunga upepo nje ya nyumba yako kwa kero ya inzi pamoja na harufu.
Unapolalamika jirani hakuelewi kwakua ng’ombe wanampatia maziwa na yeye ndiye muuzaji wa maziwa Mtangi.
Ukizingatia viwanja vyetu vya uswahilini hivi vya 20x20. Unawaza ningejua nitakutana na haya nisingenunua kiwanja hapa.
Kuku kwanza jogoo anakuamsha ile saa ya usingizi mzito na wala huna safari, kama unashighuli za kufanya unaweza kusema hii ndiyo alarm yako asubuhi.
Kuna jirani alikua anapika mama ntilie, mchana moshi wote unaingia sebuleni kwangu. Nilipomambia masikitiko ayangu alianza kuniimbia nyimbo za vijembe. Ilibidi nipeleke malalamiko yangu kwa kiongozi wa mtaa. Baada ya kupata ujumbe kutoka serikali ya mtaa, amehamisha sehemu ya kupikia lakini sikuhizi hatusalimiani. Nimepata adui mpya.
Aiseee!! Sijawahi ona anayewafuga.kanga ndo wana kelele balaa
jirani akifuga kanga umeisha
Nilishahama mkuu.alhamdu Lillah
hama huo mtaa
Hakuna nguruwe msafi nguruwe mwenyewe tu ni takataka tosha
ok.tuachane nahayo shemeji yupo?Nilishahama mkuu.