macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ni rahisi sana. Usiende polisi kwani anaweza kuhonga na kurudi kuendelea na pengine watamwambia mbaya wako ni huyu. Nenda moja kwa moja kwenye ofisi au kiwanda cha hiyo bidhaa, omba kuonana na meneja masoko umueleze. Si ajabu utapewa na zawadi. Au piga simu waeleze, wakupe utaratibu wa kuonana nao. Hakikisha unawasiliana na uongozi wa juu au mwenye kiwanda kabisa kwa sababu hii hujuma inaweza ikawa inafanywa kwa ksuhirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa kwenye kiwanda.Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.