Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Ngonjera zazidi kuibuka sakata la mauaji ya wanandoa huko Mwanza.
Leo jirani yake na Marehemu Saidi na Marehemu Swalha amehojiwa na Azam News na kusema wiki moja kabla ya kutokea kwa mauaji hayo, kulitokea mauzauza nyumbani kwa wanandoa hao.
Njiwa aliyefungwa sanda alidondoka getini katika nyumba ya wanandoa hao na kumfanya marehemu Saidi azimie.
Ikabidi marehemu Swalha ambaye ni mke wa marehemu kwenda kumtafuta mganga na kumtibu mumewe. Baada ya hapo mauzauza yakaanza mpaka wawili hao walipokuja kufariki.
Hayo ni maneno ya jirani yao na marehemu hao.