Jirani: Kabla ya tukio la mauaji ya wanandoa, kulitokea mauzauza nyumbani kwao

Ngonjera zazidi kuibuka sakata la mauaji ya wanandoa huko Mwanza.

Leo jirani yake na Marehemu Saidi na Marehemu Swalha amehojiwa na Azam News na kusema wiki moja kabla ya kutokea kwa mauaji hayo, kulitokea mauzauza nyumbani kwa wanandoa hao.

Njiwa aliyefungwa sanda alidondoka getini katika nyumba ya wanandoa hao na kumfanya marehemu Saidi azimie.

Ikabidi marehemu Swalha ambaye ni mke wa marehemu kwenda kumtafuta mganga na kumtibu mumewe. Baada ya hapo mauzauza yakaanza mpaka wawili hao walipokuja kufariki.

Hayo ni maneno ya jirani yao na marehemu hao.
Matukio kama hayo yakitokea husemwa mengi sana, Japo mengi si ya kweli...
 
Waweke hadharani namba za huyo mganga alieletwa na Swalha kupambana na njiwa + kumzindua kidume Said
 
waweke hadharani namba za huyo mganga alieletwa na Swalha kupambana na njiwa + kumzindua kidume Said
Maelezo ya mdogo wake Swalha,anaseema kiltambaa ,kilikuwa kimewekwa Umbo la sanda,na njiwa alimgonga Said ...lakini wajubi wa mtandaoni wanasema njiwa alifungwa Sanda!
Ni heri kukaa kimyaaa
 
Ngonjera zazidi kuibuka sakata la mauaji ya wanandoa huko Mwanza.

Leo jirani yake na Marehemu Saidi na Marehemu Swalha amehojiwa na Azam News na kusema wiki moja kabla ya kutokea kwa mauaji hayo, kulitokea mauzauza nyumbani kwa wanandoa hao.

Njiwa aliyefungwa sanda alidondoka getini katika nyumba ya wanandoa hao na kumfanya marehemu Saidi azimie.

Ikabidi marehemu Swalha ambaye ni mke wa marehemu kwenda kumtafuta mganga na kumtibu mumewe. Baada ya hapo mauzauza yakaanza mpaka wawili hao walipokuja kufariki.

Hayo ni maneno ya jirani yao na marehemu hao.
Hiyo ndiyo Mwanza

Tunaomba jina la mganga
 
Pesa za kishetani hazijawahi waacha watu salama...

Mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Ngonjera zazidi kuibuka sakata la mauaji ya wanandoa huko Mwanza.

Leo jirani yake na Marehemu Saidi na Marehemu Swalha amehojiwa na Azam News na kusema wiki moja kabla ya kutokea kwa mauaji hayo, kulitokea mauzauza nyumbani kwa wanandoa hao.

Njiwa aliyefungwa sanda alidondoka getini katika nyumba ya wanandoa hao na kumfanya marehemu Saidi azimie.

Ikabidi marehemu Swalha ambaye ni mke wa marehemu kwenda kumtafuta mganga na kumtibu mumewe. Baada ya hapo mauzauza yakaanza mpaka wawili hao walipokuja kufariki.

Hayo ni maneno ya jirani yao na marehemu hao.
Hawa watu watamkasirisha Mungu kwa hizi chuki zao kwa njiwa,bundi na paka
 
waweke hadharani namba za huyo mganga alieletwa na Swalha kupambana na njiwa + kumzindua kidume Said
Hakuna ki2 apo.dem ni mtoto wa mjini ni mpigaji amemtengenezea kipindi mshikaji ili ampige hela.
uyo mganga ni tp to na watakuwa walikuwa wanamuendesha jamaa..
 
Ngonjera zazidi kuibuka sakata la mauaji ya wanandoa huko Mwanza.

Leo jirani yake na Marehemu Saidi na Marehemu Swalha amehojiwa na Azam News na kusema wiki moja kabla ya kutokea kwa mauaji hayo, kulitokea mauzauza nyumbani kwa wanandoa hao.

Njiwa aliyefungwa sanda alidondoka getini katika nyumba ya wanandoa hao na kumfanya marehemu Saidi azimie.

Ikabidi marehemu Swalha ambaye ni mke wa marehemu kwenda kumtafuta mganga na kumtibu mumewe. Baada ya hapo mauzauza yakaanza mpaka wawili hao walipokuja kufariki.

Hayo ni maneno ya jirani yao na marehemu hao.
Fake news
 
Back
Top Bottom