Jirani: Kabla ya tukio la mauaji ya wanandoa, kulitokea mauzauza nyumbani kwao

Matukio kama hayo yakitokea husemwa mengi sana, Japo mengi si ya kweli...
 
Waweke hadharani namba za huyo mganga alieletwa na Swalha kupambana na njiwa + kumzindua kidume Said
 
waweke hadharani namba za huyo mganga alieletwa na Swalha kupambana na njiwa + kumzindua kidume Said
Maelezo ya mdogo wake Swalha,anaseema kiltambaa ,kilikuwa kimewekwa Umbo la sanda,na njiwa alimgonga Said ...lakini wajubi wa mtandaoni wanasema njiwa alifungwa Sanda!
Ni heri kukaa kimyaaa
 
Hiyo ndiyo Mwanza

Tunaomba jina la mganga
 
Pesa za kishetani hazijawahi waacha watu salama...

Mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Hawa watu watamkasirisha Mungu kwa hizi chuki zao kwa njiwa,bundi na paka
 
Majiran bana ibiwa hata beseni ukiwaulza hawajaona mtu akipta apo kwako sasa vusha dem na mkeo kasafir sjui ua wanakaaga sehm gan
 
waweke hadharani namba za huyo mganga alieletwa na Swalha kupambana na njiwa + kumzindua kidume Said
Hakuna ki2 apo.dem ni mtoto wa mjini ni mpigaji amemtengenezea kipindi mshikaji ili ampige hela.
uyo mganga ni tp to na watakuwa walikuwa wanamuendesha jamaa..
 
Fake news
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ