Jirani kalisahau wowowo lake nje

Hahaaa. Umewaza mbali Mkuu ila itakuwa ana ujanja ujanja wa kufanya mwanaume asilijue hilo.

Japo nimejikuta namuhurumia kwa kweli.
Atakuwa ni mmoja ya wale wanaosemaga "zima taa honey" [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanaume ukitoka hapo unajisifia kwa masela kumbe umekula godoro
 
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Umeonaeee. Yaani mbio Hazard kaja kutuhoji wana jf wakati anaewaumiza shingo anaye huko Mtaani.

Ila mdogo wangu kuna vidada havina aibu hata kidogo huenda kangejichekesha, basi na hapo Hazard angelainika na asingeendelea nayo tena.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa haya maneno wacha huyo dada aumize shingo zenu kwa kweli.

Sababu inaelekea unamuangalia hasaaaa. [emoji85]
yan ni burudani kwakwel..na viatu vyake virefu [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…