Mmh. Haki ya nani Mkeo anaipatapata.Vipi mtindi...hauna tiba?maana nao pia ni ugonjwa wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa chura
Nipo mkuu, naona wewe umepoteaUpo chief?
Kwa mchina hatuwezi kosa tiba.Vipi mtindi...hauna tiba?maana nao pia ni ugonjwa wangu
Nipo nduguNipo mkuu, naona wewe umepotea
Hahahah kuna jinsi mnayabust bana..ni hatari tupuMmh. Haki ya nani Mkeo anaipatapata.
kila kitu kina copy yake...ila vitambi bado havijapata solution, ile mikanda sio[emoji23]
Labda ndio naishi nae hapa jiran...Mbon kama la miss natafuta!
Tiba yake ipo korea na usa huko ila ni too expensive.... subirin mchina atarahisishaKwa mchina hatuwezi kosa tiba.
Njoo uchukue wowowo lako nimeliokota hapa njia panda ya Himo [emoji12]Kwa mchina hatuwezi kosa tiba.
Hahahaha ila kuna wadada wanajiweza khaaNdio hivyo mdogo wangu mdada kasahau mali yake nje.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani wanajiweza hasa mdogo wangu.Hahahaha ila kuna wadada wanajiweza khaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiseme kwanguvu basiNjoo uchukue wowowo lako nimeliokota hapa njia panda ya Himo [emoji12]
Unaogopa kuumbuka kwa ulivyokuwa unawatesa mabazazi wa watu eeeh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiseme kwanguvu basi
Nawaza tu hapo ana mtoko alafu hazard alipitie aliweke ndani kwake ..hahahaahha..huyo Dada yuko kughahiri safari Dada anguYaani wanajiweza hasa mdogo wangu.
Unaogopa kuumbuka kwa ulivyokuwa unawatesa mabazazi wa watu eeeh!
Basi yeshe.....![emoji40]
Poa Shem...vipi jirani mwenye booty lake ameshalianua?Shem mambo