Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Au hata shingo akahangaike na pingili hahahahahaKaniboa sana bora angechukua mguu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au hata shingo akahangaike na pingili hahahahahaKaniboa sana bora angechukua mguu
Si vibaya nikiwa nayo maana natafuta kwa tabuSasa shida hapo ikowapi. Ila mkuu una roho ya uchoyo
Umeona ina maana alishindwa kabisa kujishikilia?Au hata shingo akahangaike na pingili hahahahaha
Na wewe pia tafuta hela uache kukaa uswahilini....(joke)Umeona ina maana alishindwa kabisa kujishikilia?
Una fikili uswahili bas hapa tupo wapangaji wa wili mimi nipo nyumba kubwa yeye yupo huko nyuma kwahiyo get lakuingilia ni moja tuNa wewe pia tafuta hela uache kukaa uswahilini....(joke)
Sio uswahilini bhna sinzatatizo unaishi uswahilini unsema uko mjini.hamahuko.
Ulimpikia mgeni mshipa wa kuku?Mshipa wa kkuku
njoo mikocheni mkuu hakuna uswahili huo au nenda mbezi bich.huko niuswahilini mkuu Hama.Sio uswahilini bhna sinza
Akihamia huko atashindwa kula "mishipa ya kuku".njoo mikocheni mkuu hakuna uswahili huo au nenda mbezi bich.huko niuswahilini mkuu Hama.
Icho ndicho kina niuma mimiTatizo kidali kina nyama nyingi[emoji1787]
Acha kabisa nilipatwa na hasiraDaah kwa sababu ya kidali weekend yote imechafuka
Huyo sasa anajua kabisa kidali ila basiUlimpikia mgeni mshipa wa kuku?
Dah!Ndiyo ukamuingiza chaka kwamba ni mshipa?😂Huyo sasa anajua kabisa kidali ila basi
Kwani kusema ukweli kuwa jirani kamkera ndio imekuwa nongwa mpaka mna lebel kuwa ana roho ya uchoyo...[emoji23][emoji23]Sasa shida hapo ikowapi. Ila mkuu una roho ya uchoyo
Unafiki tu mkuu wasikusumbue mbona uko vyedi [emoji23][emoji23]Si vibaya nikiwa nayo maana natafuta kwa tabu