Jirani kaniudhi sana siku ya Jumamosi

Jirani kaniudhi sana siku ya Jumamosi

Na wewe pia tafuta hela uache kukaa uswahilini....(joke)
Una fikili uswahili bas hapa tupo wapangaji wa wili mimi nipo nyumba kubwa yeye yupo huko nyuma kwahiyo get lakuingilia ni moja tu
 
Sasa shida hapo ikowapi. Ila mkuu una roho ya uchoyo
Kwani kusema ukweli kuwa jirani kamkera ndio imekuwa nongwa mpaka mna lebel kuwa ana roho ya uchoyo...[emoji23][emoji23]

Wabongo wanafiki sana, mtoa mada naunga mkono hoja jirani kazingua bora angekwambia Oya neighbor hamna masalia? Na sio kuvamia.
 
Back
Top Bottom