Jirani mkorofi, anafugia ng'ombe kwenye ukuta wangu

Kuna watu ni wakorofi na kuna watu hawana common sense,
We fikiria viwanja vya 20x20 mtu anapanda muembe tena Mpakani, yani kuna majirani tabu sana
Si bora miembe!

Mimi kapanda Miarobaini na majani mapana kwenye uzio kabisa.

Navuta muda tu niihujumu ife.
 
Pole kwa kadhia ya jiranyako.
Kwanza huo ukuta ni WA kwako ama wa kwenu?

Ukuta ni unakuwa WA kwako kama umejenga Kwa kuacha nafasi walau mita 2 kutoka jiwe la mpaka Ili na yeye ajenge wa kwake Kwa kuacha umbali huohu kutoka kjiwe lenu la mpaka.

Ukuta unakuwa wa kwenu wote kama mmekubaliana msiache kichochoro bali mjenge kufuata mpaka wa jiwe. Hapa haijalishi mmechangia ama amejenga mmoja wenu. Ilimradi hakuna nafasi iliyoachwa basi baina ya jiwe la mpaka basi huo ukuta unakuwa WA kwenu wote na kila mtu ana haki ya kuutumia.

Kama utataka jirani mkorofi asitumie ukuta wako, vunja huo na jenga mwingine Kwa kufuata Sheria.

Isije kuwa unamwonea wivu huyo jirani yako Kwa sababu unaona anakupiga gepu Kwa kumiliki mang'ombe, maana majirani hampendagi kupitwa.

Ngombe wake wako upande wake na wanachafua ukuta huo upande wake Sasa wewe shida Nini? Kama ukuta utaanguka ama kuharibika sehemu aliyojenga banda basi gharama za matengenezo ziatoka kwake.

Jirani punguza wivu, relax, ongea na jirani yako nawe jifunze ufugaji kutoka kwake baada ya hapo hutajuta kupata jirani mfugaji bali atakuwa baraka kwako
 
Kwa jinsi unavyoeleza inaonekana huo ukuta ni wakwenu wote maana upo kwenye mpaka wa kiwanja, jirani anayo haki yakufanya kitu chochote Cha maendeleo either kuvugia au kulima etc.

Kikubwa unapofugia mjini au kwenye makazi ya watu lazima uwe na kibali Cha ufugaji. Hii inapelekea ukaguzi na usimamizi wa usafi wa mazingira na kuhakikisha haupelekei kero Kwa majirani.

Note; mtu hachaguliwi pakufuga kikubwa ni kufuata Sheria za mji.
 
Mi nina jirani kama wako yeye kaamua kufuga nguruwe bado namfikiria kumtia hasara, kuna mwingine alikuwa anakuja kuchungia mbuzi wake kwenye kiwanja changu nikamwambia hakusikia, nlinunua debe la mahindi nikaliweka maeneo mbuzi wakaja kula mahindi yote, kiwanja changu kipp mtoni wakaenda kunywa maji, jioni akaja kuwachukua wameshiba balaa, usiku alikuta maiti ya mbuzi zaidi ya 10
 
Kuna shairi linaitwa Mending Wall, ngoja nikumbuke mistari kidogo ….Good fences make good neighbors….

Pamoja na fence yako ujirani wenu badala uwe bora umekuwa worse. Pole mkuu.
 
hufananii na huu ushauri...au la nimekufananisha😭✋
 
atleast this..i appreciate you🥰👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…