Jirani yangu anafanya kazi gani?

Wewe utakuwa mswahili wa kutupwa aisee. Yaani unashangaa kuona mtu anaishi bila ya kutoka asubuhi na kurudi jioni akiwa ameloa jasho ili aweke kitu tumboni? Hicho ni kitu cha kawaida sana. Watu waliokuwa initiated na exposure ya dunia wanachohitaji ni umeme, laptop na internet tu, ili waishi.

Hawa wapuuzi wanaolia maisha magumu siwaelewi kabisa. I mean, sure, you can be stupid, but not that stupid? Right? Badala ya kuwa mwananchi wa Tanzania, kuwa mwananchi wa ulimwengu. A citizen of the world. Jichanganye na ulimwengu, sio mitaani. Kiswahili kitakusaidia Tanzania, lakini English itakusaidia ulimwenguni. WaAsia ndio utakuta wanafanya hivi, utakuta wanaongea English safi utafikiri sio mchina au mkorea. Wapo initiated with the world. Ila huku ukiongea English utakuta wanasema unajiona msomi sana au unaringa. Hahaha! Its fuking pathetic. Labda maendeleo ya nchi zao zimefanya wananchi waamke. It doesn't matter. They swim and sour technology and reap the benefits. It's fuking awesome, and I truly admire that.

Watanzania wapo nyuma sana na maendeleo ya dunia na wanashindwa kutumia technology ipasavyo zaidi ya kujadili umbea na maisha ya watu kama hivi. Wakati kuna vijana wanabandua 300$ usd kila siku kama passive income. Wale kina mimi tuliozaliwa in shithole countries even though I don't regret it tunachuma kibishi 50$, 50$ a day. It doesn't matter zinatosha kuendesha maisha huku kwa mifisadi vichwa maji. Kama taifa we've got a long way to go.

Katika kitu nachukia ni mtu kufuatilia maisha yangu, mimi sikufuatilii kwanini wewe unifuatilie? Yaani naweza kukumaliza hivihivi. Alafu hizi tabia zimejaa uswahilini. Acha kufuatilia maisha ya watu mkuu.
 
Anapiga online business, bando lake tu
 
Jirani Yako unaishi nae wewe hafu unakuja kutuuliza sisi....! Umetudharau...!?
 
Umaskin ni shida Sana😂 mpak unajiuliza watu wanaishie lkn angekua mwenzie amejenga Villa na njee Kuna Bentley au Porsche asinge jiuliza. Hata aone Lamborghini iko parking


Wew Alie kuambia ukasome Ualimu Nan?
 
Anavidole gumba vyote au??
 
I balaaaa nasemajee ibaaaa
 
ogopaa kukopi maisha ya watu

Wale.mashogaa wa kampuni kubwa unazojua sorry kama uwajuiii wengine wamekungutwa na wazungu walioanzjsha ama kuja kufunga mitambooo yaoo wakapewa na magari viwanja. Sisimi kwa ubaayaaa unapoelekeaa kidogooo sikoooo
 
huyo anafanya kazi kweny migodi mikubwa...
 
Mbona hata sisi tunaishi maisha hayo mzee

Mtaani wananiona tu na mara nyingi nipo ndani lakini maisha yanasonga na kitaa kumeshaisha kabisaa
 
Unamchunguza mtu. Muulize tu.

Hapa utapata majibu mengi ya kukisia.

Watu wengine hawafanyi kazi ili wapate pesa, pesa zinawafanyia kazi wao.

Kuna watu wanafanya kazi mitandaoni siku hizi.

Kuna watu wana mali za urithi.
Jamaa hajasema anamchunguza wala kufatilia maisha yake anataka tu kutupa uzoefu wa namna wengine wanavyoishi. Maana kiukweli wengi tunachapika usiku na mcha a ni hatari.
 
Hayo ndo maisha nataka wanangu wayaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…