Jirani yangu anafanya kazi gani?

Jirani yangu anafanya kazi gani?

Akikwambia kazi anayoifanya utaiweza mkuu!?...

Ishi maisha yako!... Haya maisha Yana siri nyingi!

Pengine yuko mahala ambapo walioko huko wanatamani kutoka!... Lakini hawawezi kutoka!... Walio nje ya huo mfumo wanatamani waingie... Lakini hawajui waanzie wapi!

Pengine usikute na yeye anaitamani furaha uliyonayo! Kuishi akiwa huru... Lakini hawezi kuipata!

Maisha Yana mambo mengi!... Hayako kama unavyoyaona!...

The more you look... The less you see!
Mkuu umeogea kama mtu mwenye uzoefu kwenye Maisha.

Mimi nimekuelewa.
 
ogopaa kukopi maisha ya watu

Wale.mashogaa wa kampuni kubwa unazojua sorry kama uwajuiii wengine wamekungutwa na wazungu walioanzjsha ama kuja kufunga mitambooo yaoo wakapewa na magari viwanja. Sisimi kwa ubaayaaa unapoelekeaa kidogooo sikoooo
Kwanini uwaze mambo machafu tu.
 
Wewe utakuwa mswahili wa kutupwa aisee. Yaani unashangaa kuona mtu anaishi bila ya kutoka asubuhi na kurudi jioni akiwa ameloa jasho ili aweke kitu tumboni? Hicho ni kitu cha kawaida sana. Watu waliokuwa initiated na exposure ya dunia wanachohitaji ni umeme, laptop na internet tu, ili waishi.

Hawa wapuuzi wanaolia maisha magumu siwaelewi kabisa. I mean, sure, you can be stupid, but not that stupid? Right? Badala ya kuwa mwananchi wa Tanzania, kuwa mwananchi wa ulimwengu. A citizen of the world. Jichanganye na ulimwengu, sio mitaani. Kiswahili kitakusaidia Tanzania, lakini English itakusaidia ulimwenguni. WaAsia ndio utakuta wanafanya hivi, utakuta wanaongea English safi utafikiri sio mchina au mkorea. Wapo initiated with the world. Ila huku ukiongea English utakuta wanasema unajiona msomi sana au unaringa. Hahaha! Its fuking pathetic. Labda maendeleo ya nchi zao zimefanya wananchi waamke. It doesn't matter. They swim and sour technology and reap the benefits. It's fuking awesome, and I truly admire that.

Watanzania wapo nyuma sana na maendeleo ya dunia na wanashindwa kutumia technology ipasavyo zaidi ya kujadili umbea na maisha ya watu kama hivi. Wakati kuna vijana wanabandua 300$ usd kila siku kama passive income. Wale kina mimi tuliozaliwa in shithole countries even though I don't regret it tunachuma kibishi 50$, 50$ a day. It doesn't matter zinatosha kuendesha maisha huku kwa mifisadi vichwa maji. Kama taifa we've got a long way to go.

Katika kitu nachukia ni mtu kufuatilia maisha yangu, mimi sikufuatilii kwanini wewe unifuatilie? Yaani naweza kukumaliza hivihivi. Alafu hizi tabia zimejaa uswahilini. Acha kufuatilia maisha ya watu mkuu.
Mkuu unaingizaje hizo 50$ per day
 
Too much explanation........Hence Bla bla
 
Ukifuata maisha ya Mtu utaishia kuumiza roho, juzi Kuna tukio lilitokea hapa Mtaani kwangu mpaka nikalianzishia Uzi.
Sasa si ungeweka link ya huo uzi ulionzisha kuhusiana na hilo tukio, vyengine hukua na haja ya kusema hivyo.
 
Ukifuata maisha ya Mtu utaishia kuumiza roho, juzi Kuna tukio lilitokea hapa Mtaani kwangu mpaka nikalianzishia Uzi.

Pambania maisha ya ndoto yako Mkuu ukiangalia maisha ya Mtu mwengine utachelewa kufanya mambo yako
Tupe link tujisomee udaku mzee weekend hii
 
Jamaa hajasema anamchunguza wala kufatilia maisha yake anataka tu kutupa uzoefu wa namna wengine wanavyoishi. Maana kiukweli wengi tunachapika usiku na mcha a ni hatari.
Ndiyo anamchunguza na kufuatilia maisha yake.

Asingemchunguza wala kumfuatilia maisha yake asingejali.
 
Maisha ya mtu ni siri yake mwenyewe, laiti kama ungejua chanzo cha mapato yake sidhani kama ungeyatamani maisha yake, usione watu wanaendesha magari makali wana siri kubwa sana kikubwa kuridhika na ulichonacho.
 
I'm an Application Developer, Game Developer, UI Designer, 3D Modeling expert, Web Developer. I also mastered all the necessary applications to accomplish such things.

Simple stuff.
Najifinzaje mkuu?!
 
Back
Top Bottom