Jirani yangu anafanya kazi gani?

So you're a lesbian? Well then, find someone else to rub off your ass or know you're role and shut the fuk up.
HTML programmer, copy and pasting. Huna unachojua. Kichwa maji we hata ukiandika code itakua full of bugs.

Af ku ping si ku hack, acha mbwembwe
 
Maishi yana siri nyingi sana Mkuu, focus na maisha yako. To a large extent life is how you make it yourself.
 
Usikute Sa100 kesha muuza kwa waarabu wanamdukua
 
Acha kuchunguza Maisha ya watu.
Kuna jamaa mtaani anaishi Goodlife sana lakn kaz yake n Mwanachama wa Rainbow(Bottom)
Huwa anasafiri sehem mbali mbali za Dunia kufanya kaz zake.
 
Ukiwa chawa wa Sir mia au Sir Chande maisha n simple sana
 
Uchawi huo sasa. Stay on your lane
 
Forexer huyo bila shaka
 
Kuna mchezo "tigo sports " kwenye simu, ukicheza ukiwa umetulia unaibuka na kitita. Huenda ni mpenzi wa huo mchezo. Siku hizi ofisi ni simu yako, ili mradi iwe "janja ".
 
Mwingine anaambiwa akae ndani ili kulinda kitu fulani, anapewa kadawa anakokafunika na shuka kitandani, baada ya mda kamageuka box lenye wekundu wa msimbazi. Anashinda ndani kuhesabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…