mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Na wewe anza kufuga nguruwe utaizoea tu hiyo harufu na utaboresha ujirani mwema na mahusiano yako na majirani.Baada ya kusogea na kuhamia nje ya mji kidogo nimeishi kwa amani na furaha sana , eneo langu ni almost kama heka moja hivi ,eneo nililojenga nyumba pako jirani na mtu mwingine, ujirani huo ndio source ya shida yangu kwa sasa.
Jirani yangu kahamia almost mwaka sasa, aisee huyu mbena ni shida , eneo lake dogo kwenye Hilo hilo eneo anafuga nguriwe , ngombe kuku na anaishi na mbwa jitaftie , harufu inayotoka hapo kwake inakera sana, nimejaribu kumuomba nimpe pesa ahame anatangaaza kwa majirani Nina dhalau, nimependisha ukuta ka nyumba za wauza madawa ya kulevya aisee bado halafu naisikia , mfano nikiwa nje kwangu nateseka samna
Kuku wa Shekilango wananuka vibaya sana aiseeUshawai kupita vingunguti labda au shekilango? Uka jiuliza hawa watu wanaishije?
Af ukiangalia ni katikati ya jiji pale palifaa kuamishwa imagen sasa upo kwenye foreni utajuta kwanini ulipita iyo njiaKuku wa Shekilango wananuka vibaya sana aisee
Ila ukiishi Dsm, kula chakula cha kueleweka ni mtihani sana.Kuku wa Shekilango wananuka vibaya sana aisee
TrueIla ukiishi Dsm, kula chakula cha kueleweka ni mtihani sana.
ile kona sifunguagi kioo pale sio poa kabisa.Kuku wa Shekilango wananuka vibaya sana aisee
Nilikua najiuliza mbona watu wa Dar wanatematema mate kama wana mimba kumbe ndio hivi?Kuku wa Shekilango wananuka vibaya sana aisee
Mpango mji hautofautishi residential areas na farms?Baada ya kusogea na kuhamia nje ya mji kidogo nimeishi kwa amani na furaha sana , eneo langu ni almost kama heka moja hivi ,eneo nililojenga nyumba pako jirani na mtu mwingine, ujirani huo ndio source ya shida yangu kwa sasa.
Jirani yangu kahamia almost mwaka sasa, aisee huyu mbena ni shida , eneo lake dogo kwenye Hilo hilo eneo anafuga nguriwe , ngombe kuku na anaishi na mbwa jitaftie , harufu inayotoka hapo kwake inakera sana, nimejaribu kumuomba nimpe pesa ahame anatangaaza kwa majirani Nina dhalau, nimependisha ukuta ka nyumba za wauza madawa ya kulevya aisee bado halafu naisikia , mfano nikiwa nje kwangu nateseka samna
Sasa inakuwaje watu wanafanya biashara kwenye mazingira machafu..kwanini wasiwe wanafanya usafi!ile kona sifunguagi kioo pale sio poa kabisa.
yaani watu wazima wanashindwa kufanya usafi maeneo ya biashara zao.π³π³π³π³π³π³Pale shekilango usiombe ukute huku mbele gari zimesimama kusubiri taa, ile harufu haifai
Hao jamaa wanahongeka sana, mfuga nguruwe akiwa anawatoa na visent kidg kila mwezi hatakaa aondolewe hapo au aonywe....Hii nchi unaionaje?Kamfungulie kesi tu huyo kwenye idara za mazingira na afya