Jirani yangu anafuga nguruwe na ni mchafu wa kuzaliwa

Baada ya kusogea na kuhamia nje ya mji kidogo nimeishi kwa amani na furaha sana , eneo langu ni almost kama heka moja hivi ,eneo nililojenga nyumba pako jirani na mtu mwingine, ujirani huo ndio source ya shida yangu kwa sasa.

Jirani yangu kahamia almost mwaka sasa, aisee huyu mbena ni shida , eneo lake dogo kwenye Hilo hilo eneo anafuga nguriwe , ngombe kuku na anaishi na mbwa jitaftie , harufu inayotoka hapo kwake inakera sana, nimejaribu kumuomba nimpe pesa ahame anatangaaza kwa majirani Nina dhalau, nimependisha ukuta ka nyumba za wauza madawa ya kulevya aisee bado halafu naisikia , mfano nikiwa nje kwangu nateseka samna
Sasa unataka sisi tukuchangie nepi umpelekee? Au unataka tafanyeje!
 
Dsm jijini hasa, sio mahala salama sana pa kuishi km unajali afya yako Sheikh, only for business...go & return...
Kama umebahatika kuzunguka kwenye majiji yenyewe utagundua Dar es ni kijiji kikubwa chenye mkusanyiko mkubwa wa watu.

Uchafu sio mojawapo ya sifa.
 
Baada ya kusogea na kuhamia nje ya mji kidogo nimeishi kwa amani na furaha sana , eneo langu ni almost kama heka moja hivi ,eneo nililojenga nyumba pako jirani na mtu mwingine, ujirani huo ndio source ya shida yangu kwa sasa.

Jirani yangu kahamia almost mwaka sasa, aisee huyu mbena ni shida , eneo lake dogo kwenye Hilo hilo eneo anafuga nguriwe , ngombe kuku na anaishi na mbwa jitaftie , harufu inayotoka hapo kwake inakera sana, nimejaribu kumuomba nimpe pesa ahame anatangaaza kwa majirani Nina dhalau, nimependisha ukuta ka nyumba za wauza madawa ya kulevya aisee bado halafu naisikia , mfano nikiwa nje kwangu nateseka sana,sifurahi tena mazingira yangu.
Nipo njiapanda sana je nihame , nikitazama pesa niliyoweka haoa kawenye ujenzi inanipa wakati mgumu, nikijaribu kumvua hataki, nawaz ukija lipuka ugonjwa wa nguruwe nitafte vipande vya nyama za nguruwe niweke hapo bandsni kwake TU huu mradi ufe kabisa
Nenda NEMC,au mpe hela nzuri Kwa kumshawishi sana
 
Ulivyo sema mbena sasa ndo naelewa kuwa unapitia wakati mgumu 🤣
 
Dah sijui hata ufanyeje yaani. labda uzoee. Na kama havizoeleki nayo mtihani kweli kweli. au tu na wewe ufuge kama yeye maana kununua eneo lake imeshindikana. kama imani haikuzuii fuga na wewe haitaondoa harufu ila labda itakupa amani wakati wa mauzo
 
Hiyo harufu nimeisikia hadi huku karibia ni🤮
FB_IMG_17853552034081755.jpg
 
Ni mwislamu sala 5tu ndio anaweza kumvumilia jirani yake mfuga nguruwe,kwasabu jamaa wanapenda sana nguruwe
 
Niuzie eneo lako mm.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nilipita hapo cku moja daladala ikagoma kusonga foleni hiyo hapo majasho ya abiria mixer hiyo harufu ilibid tushuke tutembee tu gari lituchukulie mbele.
 
Back
Top Bottom