Jirani yangu anafuga nguruwe na ni mchafu wa kuzaliwa

Sasa unataka sisi tukuchangie nepi umpelekee? Au unataka tafanyeje!
 
Dsm jijini hasa, sio mahala salama sana pa kuishi km unajali afya yako Sheikh, only for business...go & return...
Kama umebahatika kuzunguka kwenye majiji yenyewe utagundua Dar es ni kijiji kikubwa chenye mkusanyiko mkubwa wa watu.

Uchafu sio mojawapo ya sifa.
 
Nenda NEMC,au mpe hela nzuri Kwa kumshawishi sana
 
Nanda kwa mtendaji ukakutane na bwana afya mbona unatumia nguvu nying
 
Ulivyo sema mbena sasa ndo naelewa kuwa unapitia wakati mgumu 🤣
 
Dah sijui hata ufanyeje yaani. labda uzoee. Na kama havizoeleki nayo mtihani kweli kweli. au tu na wewe ufuge kama yeye maana kununua eneo lake imeshindikana. kama imani haikuzuii fuga na wewe haitaondoa harufu ila labda itakupa amani wakati wa mauzo
 
Ni mwislamu sala 5tu ndio anaweza kumvumilia jirani yake mfuga nguruwe,kwasabu jamaa wanapenda sana nguruwe
 
Niuzie eneo lako mm.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nilipita hapo cku moja daladala ikagoma kusonga foleni hiyo hapo majasho ya abiria mixer hiyo harufu ilibid tushuke tutembee tu gari lituchukulie mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…