Jirani yangu anafuga nguruwe na ni mchafu wa kuzaliwa

Sasa inakuwaje watu wanafanya biashara kwenye mazingira machafu..kwanini wasiwe wanafanya usafi!
Stalking phase... hiyo haina tofauti na sniper kuwa salama hadi pale watakaposhindwa kumtofautisha na mazingira aliyopo.
 
Ushawai kupita vingunguti labda au shekilango? Uka jiuliza hawa watu wanaishije?
Vingunguti hapo kwenye mabwawa ya mavi...kipindi nasoma udsm niliwahi kwenda kwa ndugu yangu anaishi hapo 5m kutoka kwenye hayo mabwawa ...hiyo harufu isikie tu...
 
Kuishi na majirani wasiopenda ustaarabu ni shida sana. Mfugaji anakosa ustaarabu kwa kuwa tu ana uhalali wa kisheria kumiliki eneo na hata kufuga. Tumia busara kumuomba ahame
 
Vingunguti hapo kwenye mabwawa ya mavi...kipindi nasoma udsm niliwahi kwenda kwa ndugu yangu anaishi hapo 5m kutoka kwenye hayo mabwawa ...hiyo harufu isikie tu...
Mm ninge aga mda huo huo
 
Kikweli watu hawatakiwi kufuga mijini. Ni hatari na kero. Hamna sheria unaweza mshtaki mahakamani?
 
Achana na sumu mzee, hiyo itakuingiza matatani. Piga simu mamlaka za afya na mazingira waje kukagua kama ana vibali vya kufuga mifugo mingi kiasi hicho kwenye makazi ya watu, acha sheria ipambane naye bila wewe kuonekana mbaya.
 
Kama unataka amani ya moyo niuzie hilo eneo lako.
Je, umezungushia uzio wa tofali eneo lako lote?

Ni sehemu gani ya mkoa uliopo?

Njoo mezani tuyajenge.
 
Sioni kosa la jirani Yako hapo

Badili tu mindset Yako utafurahia maisha hapo ulipo
 
Kama mpo maeneo yaliyopimwa sheria ya mipango miji hairuhusu mtu kufuga hivyo, tafuta namna ya kureport..
Pia kwa nemc watu wa mazingira anachofanya ni pollution tafuta namna ya kureport...ukifuata tararibu za serikali dk 0 tu atatulia ila ndiyo hivyo atakuona snitch...Kazi kwako
 
Siasa ndio chanzo cha mipango miji kutofanya kazi ipasavyo.
 
Ni nje ya mji kama kilomita Tano Toka mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…