Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Kiuharisia ❌
Kiuhalisia ✅
R I P Lowassa
 
Dah ila jamaa kiboko ety ukuta uvuke ghorofa 😂
Pesa yako tu. Kuna mkubwa mmoja jirani yake palinunuliwa zikapandishwa apartments za ghorofa tatu,yeye ana ghorofa kali tu. Privacy yote ikapotea.
Alichofanya alianza kupanda ile miashok trees,halafu juu ya ukuta zikapandishwa nguzo wakaweka zile nyavu kama za kwenye parking shade mwanzo mwisho. Sasa hivi anaweza hata kuogelea kwenye pool.
 
Wee mjinga Kweli endele kukari nyumba za watu kwamb mm nilikuwa nalazimisha kuchungulia watu au umetokea automatically nikawa na over view activities za jirani ake Hadi mm kuhisi kumkera sna
 
Bora wee Ni 10 Mt mm Ni mita moja ndio tunapishana maji yote yatadondoka kwangu mm na achilia mbali ku na access ya ku over view activities zangu zinazendelea nnje na ndani na sebelenj
Mkuu mbona unamuwazia in a negative way tu??
Una uhakika gani kama bati lake hataliwekea gata maji yakaenda sehemu 1 ili ayaelekeze pa kutokea?
 
Kiuharisia ❌
Kiuhalisia ✅
R I P Lowassa
Kama Nabii Lut aliokosea kuoa, akaoa mwanamke asiye na hof ya Mungu, nabii Adam kaambiwa usile tunda utakufa ila mwsho kafanya mistake kala (hao wote manabii wa mungu walikosea.... sasa mm Mwanyongo wa Mabwepande kukosea kdg tu unashangaa nn
Are u serious??
 
Nenda kamloge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…