Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Kwasababu uwezo wa kujenga ghorofa huna chimba handaki uishi chini ya ardhi ili asikuone
Huo uwezi pia Sina na kuchimba handaki Ni bei San kuliko Hilo ghorofa lake


Uslama wangu na familia yangu iko mashakani

Natafuta kujuwa huyu bwna kabila gani mnk Kuna makabila mm nimeapa sitaki ujirani wowote na mm naomba asije kuwa hayo makabila ninao wachukiaa mnk nitalazimika kuamaa kwa Bei yoyote ile
 
Nimecheka sana ,tabu ipo pale upate kiwanja tabu bado majiran tu Yaan
Pole sana
Leo nikipata muda nitakwenda kupiga picha uone over view nzima ya jinsi maghorofa yalivyo jengwa pale Kisha uone na mm location yangu ninavyo pata tabu hasa kwahuyu jamaa
 
yaani wewe ulipoanza tu kusema mtumishi wa serekali nikajua tayari majungu yameanza. Hapa nadhani ulichotaka sema ni kuwa mtumishi kajenga gorofa. Huu ni wivu na roho mbaya tuache hivi. Mtumishi wa umma au serekali haimaniishi awe maskini ndiyo iwe sifa kuwa ni mtumishi. Huwezi jua historia yake au kuna nini cha ziada anafanya au ana ndugu wenye uwezo mke au mume au hata watoto. Sasa umeweka na picha kwani eneo hilo wamekataza jenga gorofa? yeye uwezo wake kujenga gorofa wewe nyumba ya chini tatizo liko wapi? ukipenda fatilia vya watu unahisi na wewe unafatiliwa. huyo jamaa na jengo lake inaonyesha karidhika na hana mawazo ya kukaa eti anakufatilia wewe kwa kipi? ndiyo maana kaweka na ukuta ili msionane
 
Acha upumbafu wee mm nimuoneaa wivu mtumishi wa umma ,kwann nimpigemajungu mm wakt. Ndugu zangu wengi Ni watumish wa umma na wanan maghorofa Yao

Mm hoja yangu Ni hi ya usalama wanngu kuwa mashakamni habrai za utumishi wa umma mm hio sijali

Hiv ungejuwa gari. Anayobandua huyo mtumishi wa umma Basi ungekaha kimya tu
 
Unajua wivu ni ugonjwa ,signs zake na symptoms zake ni kulalamika ,kununa,kuumia ,kuaza kumsema mngine vibaya kwa watu pale anapopiga hatua yeyote katika maisha.
Hpn ujanielewe wew hamuwezi nielewa kamwe
 
Usikute mwenyewe kajenga Hana hata wazo la kusema anajenga ili akuzoom wewe,wewe unajishitukia,acha hizo pambana nanmaisha yako.
Najuwa kuwa kujenga ghorofa siyo kutazma watu chini hpn ,,

Uzoefu wangu kwenye nyumba ya ghorofa unanipa uzoefu wa jinsi usalma wa familia yako itakavyo kuwa mashakna
 
Wacha nichape kazi Kwanza nimechoka kubishana na watu wasio na exposure yoyote ile wengi Nimegundua hamkuwai kuishi kwenye maghorofa na pia hamna mwenye ghorofa humu ndio maana mnaongea simple simple tu

All in all niseme tu Asante kwa matus yenu kwangu ila mm Niko nafikiria nimuendee jirani yangu ili Kama atafika Bei nimuachie kiwanja hicho kbla ya mtu mwingine yoyote yule. mm Sina chuki na jirani Wala siumiizwi na maendeleo yake am happy for him

Na Kama aatashindwa kununua nitamuuzia kak angu mm ajenge apartment za ghorofa pia Ana uwezo huo
 
Ebu tupe location ya kiwanja tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…