Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Tumia hiyo kama fursa ya kujenga ua uliofunikwa
 
Sasa
Kwani rohi mbaya kwani nimemfanyia nn kibaya yaani Sina wivu wala nn kero Ni comfortability ya family yangu na usalama kwa ujumla
Huko unakotaka kuhamia wakijenga tena utaenda wapi. Tafuta pesa bana uache kukereka na vitu vidogo
 
Unaongea hvyo kwa maana hujui lolote kwenye vile alichofanya hyu jirani yangu

Kwanz nimegundua kuwa maji yote ya jengo lake yatamwagikia kwangu
Kwa la maji una point, mpe tahadhari mapema ili msije mkaanza kupelekana mahakamani na kuvunjiana nyumba, design nyingine ni gross violation of space, abadilishe na umpe clear asipofanya hivyo utamshtaki
 
Ghorofa likiisha na wewe ushakuwa mchawi Mbobezi!
 
Utakuta wewe ndiye huyo jirani anayejenga ghorofa unataka kumhamisha jirani yako bila kelele
 
Kwani unaogea nje mkuu, au choo hakina bati? Kama ni madirisha si piga tinted/Pazia? Au hua unaroga hapo nje? Sikuelewi kinacho kupa stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…