Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Sina wivu mkuu ni jinsi alcyo seti ile balcony yake kuitazamisha kwangu wakt kulikuwa na direction ya kuset kwingine na jengo lake kukaa vizuri tu
hata mie nao wivu huna ila uchungu wa direction ya gorofa la jirani kuelekea kwako , actually inatia hofu na unyonge pia

vip ww ukibadilisha direction ya jengo lako ni ngumu pia kwa sasa 🐒
 
Kwanini unakuwa na mashaka kama vile unaoga nje. ?? Ina maana nyumba yako unayojenga hutaweka Bati na mapazia hadi kuhofia kuwa atakuwa anaona kila kitu kinachoendelea nyumbani kwako???!! Hawa ndiyo wachawi tunaowaongeleaga ambao hawahitajiki kabisa kwenye Jamii.. Acha kuwa na roho ndogo
 
hata mie nao wivu huna ila uchungu wa direction ya gorofa la jirani kuelekea kwako , actually inatia hofu na unyonge pia

vip ww ukibadilisha direction ya jengo lako ni ngumu pia kwa sasa [emoji205]
Kwa mujibu wa mipango mji haiwezekani kbsa na hata yeye amekosea ujenzi wake ile balcony haikupazwa kelekezwa kwangu kwa mujibu wa ramani na ujemzi ukahaje

Dah sijui nifanyaje yaan mnk huyu jamaa Ana nguvu Ana nikisema. Nimpeleke ofc za mpngo miji mm nitapoteza muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…