dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
- #81
Ni ghorofa bhna typing tuJirani anajenga Gorofa sio ghorofa msiumize vichwa vyenu Wajumbe. [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ghorofa bhna typing tuJirani anajenga Gorofa sio ghorofa msiumize vichwa vyenu Wajumbe. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi huko mkuuKAribu Igelegele mkuu
Sawa lkn itabdi nimuuzie tu I'll alimiliki lote naona anapenda maenei makubwaUsipambane na mwenye pesa.
Hivi ni usalama upi unaouongelea kwa mfano?? Kwamba akiona vitu vizuri atakuibia?Hpn siwezi fanya Hilo ila usalama wangu upo mashakani
Niuzie tu nimeshakwambia n mm machopakaSawa lkn itabdi nimuuzie tu I'll alimiliki lote naona anapenda maenei makubwa
Hawa ndio wanafanya maendeleo ya nchi yanaenda polepole.Tukupuuze tu
Na kaumia kweli yaan,ni bora auze kiwanja maana huenda malalamiko yake yana mashikoJamaa muyo umekunja kinyama aisee😀
ukiona mtu anajisikia insecure kwa sababu ya maendeleo ya jirani yake. Huyo ameenda huyoNa kaumia kweli yaan,ni bora auze kiwanja maana huenda malalamiko yake yana mashiko
🤣😎ukiona mtu anajisikia insecure kwa sababu ya maendeleo ya jirani yake. Huyo ameenda huyo
hata mie nao wivu huna ila uchungu wa direction ya gorofa la jirani kuelekea kwako , actually inatia hofu na unyonge piaSina wivu mkuu ni jinsi alcyo seti ile balcony yake kuitazamisha kwangu wakt kulikuwa na direction ya kuset kwingine na jengo lake kukaa vizuri tu
Siyo kuniibia atakuwa na access ya kujuwa mengi kuhusu mm na vitu vinavyo fanyika hapo nnje kwanguHivi ni usalama upi unaouongelea kwa mfano?? Kwamba akiona vitu vizuri atakuibia?
Uko serious kweliNiuzie tu nimeshakwambia n mm machopaka
Labda uuze eneo mkuuSiyo kuniibia atakuwa na access ya kujuwa mengi kuhusu mm na vitu vinavyo fanyika hapo nnje kwangu
Asante Sana weww ndio umenielewa ktk woteWote mnamsakama jamaa bila sababu. Anataka ushauri hajaonyesha wivu ama roho mbaya.
Ni kweli ila pesa atakazo lipa itabidi ashindwe au kusimamisha kidgo ujenzi wake mnk siyo Bei ya kitotoLabda uuze eneo mkuu
Onho kumbe...basi fanya kama walivyoshauri wengine...badili mwelekeo wa jengo lako....afu unadhani huwa wanakaa sasa huko juu....Mara chache sanaNi kweli ila pesa atakazo lipa itabidi ashindwe au kusimamisha kidgo ujenzi wake mnk siyo Bei ya kitoto
Kwanini unakuwa na mashaka kama vile unaoga nje. ?? Ina maana nyumba yako unayojenga hutaweka Bati na mapazia hadi kuhofia kuwa atakuwa anaona kila kitu kinachoendelea nyumbani kwako???!! Hawa ndiyo wachawi tunaowaongeleaga ambao hawahitajiki kabisa kwenye Jamii.. Acha kuwa na roho ndogoWakuu huyu jamaa simjui vizuri Ila nahisi ni mtumishi wa serekali ,Kwanza kiwanja chake Ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800.
Sasa kinacho Nipa mawazo Ni juu ya ujenzi wake alio uanzisha hivi karibuni ,anajenga gorofa ambapo ile balcony yake ya nyuma yote inameitazamisha kwangu.
Manake Ni Kwamba shughuli zangu zote zinaendelea kwangu anakuwa na Access ya kuona moja kwa moja akiwa kwake hata akiwa vyumba vya juu atakuwa wananiona na hii Ni hatari kwa usalama wangu na familia yangu kwa ujumla.
Mm Sina uwezo kwa Sasa wa kujenga gorofa ila itabdi ninyanyue ukuta kwa urefu mkubwa ili kuweza kumnyima access ya ku over view activities zangu hapo nyumbni.
Vingenevyo nitamuende nimuuzie hcho kiwanja changu mm nitafuta kwingine
Am stressed u know.
View attachment 2933773
Kwa mujibu wa mipango mji haiwezekani kbsa na hata yeye amekosea ujenzi wake ile balcony haikupazwa kelekezwa kwangu kwa mujibu wa ramani na ujemzi ukahajehata mie nao wivu huna ila uchungu wa direction ya gorofa la jirani kuelekea kwako , actually inatia hofu na unyonge pia
vip ww ukibadilisha direction ya jengo lako ni ngumu pia kwa sasa [emoji205]