Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

SEMA MIMI NIMEKUELEWA PIA.. ITAKUJENGEA UTAKUWA HAUNA UHURU UTAKUWA UNAHISI MDA WOTE UNACHUNGULIWA... MAANA KWENYE HIZI NYUMBA KUNA MDA UNACHOKA KUKAA NDANI INABIDI UKAE NJE KIDOGO

SEMA NINI SIO MBAYA HAPO HAUNA JINSI YA KUFANYA NI KUWA MPOLE TU

TULIO JENGA NA TUNAFAMILIA TUMEKUELEWA KINACHOKUTESA SIO WIVU HAPANA.
 
activity zenyewe za kuficha ndio hicho kilimo cha kunde au kuna kingine mkuu😂😂😂
 
Asnte sna [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
activity zenyewe za kuficha ndio hicho kilimo cha kunde au kuna kingine mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mm sijaotesha hizo kunde Ni watu tu. Nisio wajuwa wamevamia na Kisha kuotesha hzo kunde na mbogamboga

Nina ramani ya nyumba yangu itakavyo kuwa na ndicho kinachonipa mawazo kizani

Kwamba hata hvyo asilimia 60 ya maji ya mvua yatakuwa yanadondokea kwangu achilia mbali balcony yake hyo ya kula upepo oooh asisee hapn kbsaaa noma sna
 
hio ni moja ya tabia ya kipuuzi sana ambayo anayo Eva wangu. Kujistukia na kuwaza jirani anachungulia chumbani kwetu. Hio hali imepelekea mimi kutoa taa chumbani kwetu pakae giza tu maana ulikuwa ugomvi kila mara. Hio nyumba anayohofia iko mita 10 toka mahali dirisha letu lilipo.
 
Naamini Hilo ndugu ,hata mm pembenj yangu Ni naibu katibu mkuu wizar fln ambae pia Ni mtu aliwai kuwa mtu maarufu San kipindi Cha jiwe nae kajenga pale pale na jengo lake ameliseti vzr tu na sina wasiwasi nae sasa huyu hajafata sheria za mpango mji kajenga ilimardi tu Ana kiwanja
 
Yuko sahih kuwa na wasiwasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…