Jirani yangu kapigwa kipigo kikali na mumewe hadi kapoteza fahamu, mdomo umemponza

Mkuu umesikia ni wapi inaandikwa Biblia na Quran nyingine au hata kutolewa tolee jipya
Ni wapi Kurani au Biblia imeandika mke awe anapigwa na mumewe kwa sababu zozote zile?
 
Na hayo mapori yawe na wanyama wenzie kama majoka, simba na chui ili akapigane nao 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Its not violence but disclipinary moves. Mwanamke hana adabu unakanya hasiki at the end you whip her ass. She restores her mind!
Kama unamkanya hakusikii just let her go....anaekupenda atakutii simply because wanawake tumeumbwa kutii ili mtupende
 
Ni wapi Kurani au Biblia imeandika mke awe anapigwa na mumewe kwa sababu zozote zile?
Mkuu kwanza sijasema hivyo vitabu vitakatifu vimesema hivyo; pili hivyo vitabu tumevikuta kama tulivyokuta destuuri ya wanaume kupiga wake zao; tatu, kama tukianza kubadili tulivyo vikuta iko siku tutabadiri na hivyo vitabu.
 
Kuna namna ukijiposition mwanamke mwenyewe anakuogopa.

In case unamtia adamu makofi mawili matatu ya faster yanamtosha.

Nb. Ukimshindwa achana nae kwanini ukaozee jela kisa mwanamke.

[emoji1479].
 
Yaani Miaka hii bado kuna mwanaume anapiga mke

Kweli wanaume wapumbavu hawaishi duniani bado wapo
Huyo naye ni mmojawapo huyo aliyepiga mke
Sasa wakati huu na uliopita we hujui huu ndo kipigo kinastahili? issue ni kwamba mwamba kampiga kipigo kibaya... me nikikulamba kofi moja ukaleta mdomo sikupigi tena nakutimua.
 
Wale waliokotana tu nahisi bar.sasa mjomba akawa Ana taka mzigo bibie hataki ndo varangati likaanza.
 
We ndo hamnazo sasa, Mpigwaji mwenyewe anadai habanduki ko haya ndo maisha yao ukiingilia utasodolewa tu hapo badae. Fanya yanayokuhusu. Mleta mada kaona bora alete elimu huku kuliko kutafuta balaa kule
Tumekutana mabwege wawili.
Kilammoja anamuona mwenzake ni hamnazo🤣
 
Kwa hyo ni ruksa mwanamke kuwa na mdomo ila mwanaume kutembeza kichapo c haki??tutawapasua sanaa msipochunga midomo yenu
 
Yaani Miaka hii bado kuna mwanaume anapiga mke

Kweli wanaume wapumbavu hawaishi duniani bado wapo
Huyo naye ni mmojawapo huyo aliyepiga mke
Ivi wewe ulishawah dharauliwa na mwanamke kweli?
 
Yaani Miaka hii bado kuna mwanaume anapiga mke

Kweli wanaume wapumbavu hawaishi duniani bado wapo
Huyo naye ni mmojawapo huyo aliyepiga mke
Si umeambiwa mume ni Cha pombe a.k.a mlevi mbwa
 
Ndoige
 
Kwa shombo hizi nyie ndo wanawake mnaolishwaga kichapo. Kesi sio yako unaichongea mdomo akati alopigwa karidhika katulia kwa mume.

Listen, ukiwa na hatia moyoni kupigwa wala hautaona tabu maana ndio haki inavyotaka. Tena uskute huyo kala kichapo na anashukuru Mungu kwamba amesamehewa pengine angestahili "kubwa kuliko"
View attachment 2390403View attachment 2390404
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…