Jirani yangu ni mganga, anatufanya tusilale usiku

Itabidi ujiimarishe katika ulimwengu wa roho, utamkomesha ila atakuita mchawi. Ndio maana ya huu usemi "maisha ni mchezo".
 
Bila shaka huyo ni mrokole mtafutie ushahidi mpeleke kwa serikali ya mtaa akishindikana kwa mtendaji kisha kusanya ushahidi huo mpeleke mahakamani kamdai fidia
 
Hakuna Mganga hapo mkuu waganga wanakaa mjini na bando za voda anaweka na kuliwa zile za 75% na analalamika...
 
Bila shaka huyo ni mrokole mtafutie ushahidi mpeleke kwa serikali ya mtaa akishindikana kwa mtendaji kisha kusanya ushahidi huo mpeleke mahakamani kamdai fidia
Jumatatu tunampeleka serikali za mitaa
 
Sasa ukae vizuri asije akakuhamisha hapo mtaani. Na sumu kubwa ya waganga pawe na watu wanaosali kwa Mungu wa Kweli na kutaja taja lile Jina Lipitalo Majina Yote, YESU KRISTO. Hatachukua raundi, atasepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…