Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Naomba nitume mwendelezo kesho. Leo nimebanwa kidogo na shughuli.
Take easy mkuu hulipwi hapa tuliojaa ni wapenda hadithi tu iwe uongo au ukweli.
Kulikua na hadithi za kijeba mzee ole zamani alikua mambo yake km bigi.
Ulisoma story zA Linda na Obi?
Hadithi za kina AE Musiba je
Tutarudi na roho zetu,
ama zao ama zangu.
Kuna kitabu pia hadithi ya binti mmoja wa kisingida hapo Kinondoni imesimuliwa vizuri sana nimesahau jina.
Hivyo ni baadhi vitabu nimesoma.
Kuna kingine kinaitwa Nelia au Nely binti mmoja alitolewa West Africa km mchumba akapelekwa Italy bila kujua kumbe anapelekwa kwenye ma brothel kuuzwa.
Hii ilinitoa machozi.
Maana mtiririko wa hadithi na vile visa vilivyomtokea yule binti sikuvumilia.
So relax, ukipata
muda simulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…