SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
-
- #361
Sawa.Adi purukushani zote za big ndoo haingii tu kuhusika?
Achana na hilo ulipo safiri mkeo hakuwa anakupa mikasa ya hapo home?
Achana na hilo sikuona ushiriki wa mkeo kwenye ajari ya jirani yako
Apo umetupiga boss
Mwandishi.Kila mtu na uhandishi wake mkuu Steve ni Steve na DeepPond ni Deep watu wawili tofauti tutulie tusome story sio kumpangia tena muhandishi
Well said MkuuNimeeleza kwa kina lifestyle yangu na changamoto niliyokuwa nayo kwenye upande wa usafiri wangu na pia udhaifu wa makazi tulokuwapo.
Ungeweza kulala fofofo huku umeacha chombo ambacho hakipo locked na mahali pana kadhia ya vibaka mara kwa mara? Huku miundombinu ikiwa so rafiki?
Anyways mkuu, tunatofautiana maisha, akili na tabia.
Napokea vyote maua na mawe.
Nadhan tumuache huenda huko mbele tutaelewa,lkn kuna matukio nikiyaunga kama mwanaume mwenye ndoa naona kuna namna angepaswa kutueleza,kwa mfano alivyosafiri angerud lzm angeongea na shemej yetu kujua kama zile purukushan ziliendelea au zilikoma,,ila anyway tunywe mtori.Clarify boss mkeo ni mtu au msukule?
Adi unapeleka BIG hospital hashiriki tu
Au BUG ndiyo mkeo
Sio wanaume wote wanapenda kushirikisha wake zao Mambo ya hivyo, nadhan unatujua vyema wanawakeNadhan tumuache huenda huko mbele tutaelewa,lkn kuna matukio nikiyaunga kama mwanaume mwenye ndoa naona kuna namna angepaswa kutueleza,kwa mfano alivyosafiri angerud lzm angeongea na shemej yetu kujua kama zile purukushan ziliendelea au zilikoma,,ila anyway tunywe mtori.
Mkuu kuwa na staha BasiClarify boss mkeo ni mtu au msukule?
Adi unapeleka BIG hospital hashiriki tu
Au BUG ndiyo mkeo
DuuuhClarify boss mkeo ni mtu au msukule?
Adi unapeleka BIG hospital hashiriki tu
Au BUG ndiyo mkeo
Kuna ulazima gani wa kumfananisha SteveMollel na UMUGHAKA ?!Ngoja nitoe dukuduku la moyo kabla ya kwenda mbele..
Story ni nzuri ila inautata kidogo kwenye upande wa familia ya msimuliaji
Kuna mdau mmoja kwenye comment aliulizia familia ya msimuliaje ilikuwa wapi tangu ep1-6
Maana mda wote huo sijaona neno 'WIFE' ila ep7 ndio nimeshuhudia nilitaka niulize msimuliaje aliishi pekee yake ep 1-6
Ila huu uandishi unafanana na UMUGHAKA[emoji848][emoji848]
Sawa mkuuAkidondosha episode inayofata, naomba unitag. Maana napata tabu kuipata, nakuta comments kibao
Inasikitisha
Notorious B. I. G wa Gobanani tena huyu!