Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jomba ile hamsini bora ungeachana nayo tu.[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ile bike yetu pale nje inahitaj ulinz pia kuchelewa kulala ni jadi yetu.So vitu vinavyopitapita nje lazima tutie jicho kdg.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
kuna watu wanafikiri wao wanavolala saa4 basi wote ndo hivyo, mtu kama Steve ninavoelewa anasubiri Mke na mtoto wakishalala yeye ndo anaweka zile movie zetu sasa za blood red sky mpaka usiku mwingi, kwahiyo hizo pilika zinapoanza most of time anakuwa macho wakati huo familia imelala na haina habari,
 
Ukianza kusoma stori unaweza kudhani jamaa alikua na jirani mchawi kumbe alikua na jirani anaeacha mlango wazi na kumfanya jaamaa aogope pikipiki yake kuibiwa
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nashangaa watu mnapenda story alf kutwa kukosoa kama hupend story usisome tengeneza yako ilio kamili story ikiisha ndo toa comment watu mnasoma story kutafta weakness while hamjawah andika hata story moja
 
Sawa bhn mkuu ila mkuu hi story ungefanya summary tu kwa kifupi Sana

Story za umughaaka Ni riwaya kbsa usiige

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Summarise then uendelee na shughuli zako, mkuu. Kuna watu wanapenda ikiwa hivi, wataendelea kufuatilia. Quite simple mwanangu, kwanini ujitese.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…