Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Sawasawa..
 
Povu lote hili kisa story ya kutungwa? Ungewekewa mchakato wa kulima parachichi hadi kuvuna usingekuwa serious hivi kufatilia. Wacha ujinga wewe, fanya mambo ako na maana uache ukora wako
 
Hoja yao wanataka wife awe anamuamsha jamaa, kumpelekea maji bafuni...mbaya zaidi wife kapika siku moja tu maharagwe ila hawajawahi piga msosi humo ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah 😂😂😂😂😂, vijana wana mambo sana mkuu
 
Alieenda mpaka chin ya bahari, stori ilikuwa ya moto sana
 
Kuna mtu kule juu kauliza eti kama bigi yupo jf, mwingine kamwambia mleta mada kuwa eti saa sita imefika bigi anamsubiri korongoni waende wakayajengenge 😂😂😂, daaah Tanzania ni hatari sana aisee 😂😂😂, wao wanajua kila kitu yan we wape kichwa cha habari maelezo watajazia wenyewe daaah acha kabisa
 
mwandishi achana na hii stor ..
kwanza ishakushinda sjui lengo lako kubwa la hii stor ninini?
unatuchanganya hujui pangilia matukio na wahusika wake Kuna vipande havina umuhimu vinarefusha stori lakini unaviweka tukio moja katika stori unazunguka Sana kulieleza
mwisho wa yote stori ni yakutunga kubali kataa ukweli unaaonekana matukio ya stori yako yanakifunga we mwenyewe
 
Samahani naomba kukuuliza
Kipi kirahisi, yeye kuachana na hii story au wewe kuachana na story yake na ukafanya vitu vyako unavyovipenda.
 
Hii ni ubaguzi, waweke option inayomlazimisha mleta uzi wa story kama hizi lazima alete story full ( mambo ya ..itaendelea yasiwepo ndio yanaleta shida sana.
Kuna stori zingine sio za kutoa mara moja msomaji atachoka na itakosa mvuto, Ni sawa na kusema Series za movie zisiwe na epidodes
 
Mnaosema story Ina mapungufu acheni kusoma hamjalazimishwa.
 
Baambie baelewe my mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…