Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Story tamu sana Steve. Kusubiri muendelezo kwa uchu nayo inaumiza sana sema ww tuma mwendelezo utakapojoskia na ntaisoma tu
 
Hii ndio kwa kitaalamu inaitwa "Disko limeingia mmasai" Jamaa kashachafua hali ya hewa kama alikuwa hataki kuandIka si angesema sa unatusimulia mkasa wa maisha yako nusunusu ili tukuelewe nini bwana BIG
 
Nna wasi wasi kuna kitu hakipo sawa kwenye huu uzi
Mara ya kwanza naingia zilikuwa page 90, nikaingia mara ya nikakuta 86, sa hv nimeingia nakuta zipo 82

Naomba kwa waelewa mniambie tatixo litakuwa nini au simu yangu nfo mbovu?
Usikute hata muendelezo wamepita nao
 
Daah...
 

Daah, pole sana... ilikuwa adhabu muafaka. Ila umenichekesha sana.
 
Mwamba ulitisha huo ndo uwanaume[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Uchafu bana, uanaume ndio kuishi na kinyesi ndanbi chako na cha demu wako? kutupa mitaani... msitupe sifa mbaya wengine bana.
 
mkuu huo pia ni uanaume kuvumilia mazingira nukivu si mchezo
Kuna jamaa mmoja walkimkamata na chupa za mokjo na mifuko ya kinyesi ndani kwake wakakenda kumpima akili... sema wewe ulipatiwa kipimo stahiki na raia wenye hasira kali.
 
aisee wale memba siwataji walinipania sana
Kuna jamaa mmoja walkimkamata na chupa za mokjo na mifuko ya kinyesi ndani kwake wakakenda kumpima akili... sema wewe ulipatiwa kipimo stahiki na raia wenye hasira ka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…