martinezmarty
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 318
- 508
Story tamu sana Steve. Kusubiri muendelezo kwa uchu nayo inaumiza sana sema ww tuma mwendelezo utakapojoskia na ntaisoma tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwhy mkuu huenda jamaa BIGI kamfanya kam mtoto wa bembela?Mkumbuke nae aligonga mlango kwa mkwara na akavunja kitasa, unazani atakua hai? huyu kashadanja zamani sana
Usikute hata muendelezo wamepita naoNna wasi wasi kuna kitu hakipo sawa kwenye huu uzi
Mara ya kwanza naingia zilikuwa page 90, nikaingia mara ya nikakuta 86, sa hv nimeingia nakuta zipo 82
Naomba kwa waelewa mniambie tatixo litakuwa nini au simu yangu nfo mbovu?
Daah...Mkuu ongeza japo moja aisee mwanzoni nilijua ile mifurushi big wanakunya ndani wanaenda kumwaga nikachukulia poa maana ilikua ndo zangu kipindi flan chuga maji kisoda bas ile mifuko laini ya zamani ilikoma. Kwangu ilikua kila ukiingia kunanuka puu mbaya sjui nlikua nawaza nn mbaya zaid akija mama yeyo nae anafanya yake tunamix tunavizia mtaa umepoa tunaenda kutupa nje mbali kidogo sitasahau mtego niliowekewa na kunaswa mpk nikahama saa kumi usiku sjui naenda wapi life la kukosa ela mtu unakuwa nusu mwehu
Ilikua balaa mkuu nilikimbizwa nikarushiwa fuko nlilotupa mgongoni likanibwaga nikachezea kichapo raia wamechukua simu saa mkanda viatu soks kila kitu na ela kwenye suruali wanalazmisha nikawape laki mbili home au nile mavi yangu tukaenda mpk home nimevaa niko hoi mpk atm enzi hizo karibu na fire kwa mguu wanatimba nyuma mie mbele nikawapa chao wanasema nenda nikianza kwenda wananilamba fimbo aloo nlitoka nduki magetoni kusanya kila kitu vingine nimeacha nikaanza kuhaha usiku kutafta nyumba kummbuka sina simu nimevimba kote aisee zilikua siku tatu chungu ule mtaa sijapita tena
Mwamba ulitisha huo ndo uwanaume[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
mkuu huo pia ni uanaume kuvumilia mazingira nukivu si mchezoUchafu bana, uanaume ndio kuishi na kinyesi ndanbi chako na cha demu wako? kutupa mitaani... msitupe sifa mbaya wengine bana.
Pumbavu zake, si aombe tumchangieNyie mnamsema wee mkute Hana bando
Kuna jamaa mmoja walkimkamata na chupa za mokjo na mifuko ya kinyesi ndani kwake wakakenda kumpima akili... sema wewe ulipatiwa kipimo stahiki na raia wenye hasira kali.mkuu huo pia ni uanaume kuvumilia mazingira nukivu si mchezo
Kuna jamaa mmoja walkimkamata na chupa za mokjo na mifuko ya kinyesi ndani kwake wakakenda kumpima akili... sema wewe ulipatiwa kipimo stahiki na raia wenye hasira ka
Hata mimi nawaza hicho kituUsikute hata muendelezo wamepita nao
Ulikuwa unawajua some of them au wote mlikuwa hamjuani?aisee wale memba siwataji walinipania sana