Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Japo ulitambulisha una Mke na watoro ila kwenye story yako inaonyesha upo single muda mwiingi na mkeo nimemuona sehemu ya 7😀😀......baada ya mtoto wa Big kukichafua...... anyway tuendelee

Wajuaji mshaanza, je big alipolock na kufuli pale koridoni ilikuwa sehemu ya ngapi? Umejiulza kabla hajakulupushwa na jirani mwenye Duka kule dirishani alienda kumgongea babu yako? Note that dhumuni la Uzi the main character ni Biggie asa we unataka asumulie kila kitu, yaani aeleze siku Ile nilikula makande na wife, kesho yake watoto nikapeleka shule ohh jumapili sebuleni wife akatenga ugali tembele? Asa si itakuwa ni tabu kila alichofanya aandike?
 
Binafs mm n mpenda story so iwe ya kutunga au kweli mm huwa naifatilia,kinachonikwaza n pale story ya kutunga inavyopewa jina la true story,

Kwenye hii story najiuliza inakuwaje una mke ndani alaf unafanya hekaheka zote hizo,sijaona sehem ukisema hata mke alikasirika au vp ulivyotoka nje usiku.
 
Ngoja nimsaidie kusema. “Basi nilivyoenda kujifungia chooni, nikamuita mke aje kuleta sabuni na maji”
 
Binafs mm n mpenda story so iwe ya kutunga au kweli mm huwa naifatilia,kinachonikwaza n pale story ya kutunga inavyopewa jina la true story,

Kwenye hii story najiuliza inakuwaje una mke ndani alaf unafanya hekaheka zote hizo,sijaona sehem ukisema hata mke alikasirika au vp ulivyotoka nje usiku.
Kukasirika kwake kunahusiana vipi na matukio yanayoendelea? Au wataka niandike na mtoto akalia nikambembeleza. Mke akaomba hela ya mboga nikampa?

Naandika kile pekee ninachokiona muhimu katika mtiririko wa tukio la jirani peke yake. Matukio madogomadogo ama mengine ambayo hayana impact yoyote katika mtiririko wa lengo langu sitayatamka na hutayaona popote pale.

Mpaka hapo umemuona huyo mwanamke na hilo tukio basi ujue lilikuwa la lazima na utaona connection yake huko mbele.
 
Mkuu SteveMollel comment nyingine fanya kuzipotezea tu make zinakera. Mtu anashindwa kuweka umakini ktk kusoma na kufuatilia mtililiko wa matukio na story kwaujumla, then anakuja na arguments na assumptions kibao eti kwanini mkeo/familia yako hujaiweka kwenye story mpaka epsode ya 7??!! so what?

Siku hizi jf imevamiwa na viumbe wa ajabu ajabu sana. Waandishi mna kazi make inahtaji moyo wa chuma kuendelea kushusha epsodes huku ukitakakiwa kujibu comments za kukeresha toka kwa members.
Bila shaka mkuu SteveMollel umejionea utofauti mkubwa wa uchangiaji toka kipindi unatuletea #baladhuri mwenye mkono wa chuma na uliporudi upya awamu hii.

Halafu enzi zile wafuatiliaji tulikuwa tunarekebisha hasa kuepuka mijadala inje ya mada na ku quote post ndefu ya story ktk epsode husika ili kufupisha kurasa za thread. Lakini siku hizi mambo yamebadilika sana watu wanageuza uzi kuwa kilinge cha story nje ya mada mixer mitongozo ya kimkakati.
 
Wajuaji mshaanza, je big alipolock na kufuli pale koridoni ilikuwa sehemu ya ngapi? Umejiulza kabla hajakulupushwa na jirani mwenye Duka kule dirishani alienda kumgongea babu yako? Note that dhumuni la Uzi the main character ni Biggie asa we unataka asumulie kila kitu, yaani aeleze siku Ile nilikula makande na wife, kesho yake watoto nikapeleka shule ohh jumapili sebuleni wife akatenga ugali tembele? Asa si itakuwa ni tabu kila alichofanya aandike?
Ahsante kuelewa.
 
Binafs mm n mpenda story so iwe ya kutunga au kweli mm huwa naifatilia,kinachonikwaza n pale story ya kutunga inavyopewa jina la true story,

Kwenye hii story najiuliza inakuwaje una mke ndani alaf unafanya hekaheka zote hizo,sijaona sehem ukisema hata mke alikasirika au vp ulivyotoka nje usiku.
Nadhani point hii ndio inasababisha watu wawe na waswas
 
Kukasirika kwake kunahusiana vipi na matukio yanayoendelea? Au wataka niandike na mtoto akalia nikambembeleza. Mke akaomba hela ya mboga nikampa?

Naandika kile pekee ninachokiona muhimu katika mtiririko wa tukio la jirani peke yake. Matukio madogomadogo ama mengine ambayo hayana impact yoyote katika mtiririko wa lengo langu sitayatamka na hutayaona popote pale.

Mpaka hapo umemuona huyo mwanamke na hilo tukio basi ujue lilikuwa la lazima na utaona connection yake huko mbele.
Sawa mkuu,nmekuelewa vyema sana
 
Back
Top Bottom