Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo ulitambulisha una Mke na watoro ila kwenye story yako inaonyesha upo single muda mwiingi na mkeo nimemuona sehemu ya 7😀😀......baada ya mtoto wa Big kukichafua...... anyway tuendelee
Japo ulitambulisha una Mke na watoro ila kwenye story yako inaonyesha upo single muda mwiingi na mkeo nimemuona sehemu ya 7😀😀......baada ya mtoto wa Big kukichafua...... anyway tuendelee
Wajuaji mshaanza, je big alipolock na kufuli pale koridoni ilikuwa sehemu ya ngapi? Umejiulza kabla hajakulupushwa na jirani mwenye Duka kule dirishani alienda kumgongea babu yako? Note that dhumuni la Uzi the main character ni Biggie asa we unataka asumulie kila kitu, yaani aeleze siku Ile nilikula makande na wife, kesho yake watoto nikapeleka shule ohh jumapili sebuleni wife akatenga ugali tembele? Asa si itakuwa ni tabu kila alichofanya aandike?Japo ulitambulisha una Mke na watoro ila kwenye story yako inaonyesha upo single muda mwiingi na mkeo nimemuona sehemu ya 7😀😀......baada ya mtoto wa Big kukichafua...... anyway tuendelee
We njoo na Dela kama juzi safari hii sikuachi salama mitandao yote natumiaWewe ni mwanaume?
Binafs mm n mpenda story so iwe ya kutunga au kweli mm huwa naifatilia,kinachonikwaza n pale story ya kutunga inavyopewa jina la true story,
Kwenye hii story najiuliza inakuwaje una mke ndani alaf unafanya hekaheka zote hizo,sijaona sehem ukisema hata mke alikasirika au vp ulivyotoka nje usiku.
Kukasirika kwake kunahusiana vipi na matukio yanayoendelea? Au wataka niandike na mtoto akalia nikambembeleza. Mke akaomba hela ya mboga nikampa?Binafs mm n mpenda story so iwe ya kutunga au kweli mm huwa naifatilia,kinachonikwaza n pale story ya kutunga inavyopewa jina la true story,
Kwenye hii story najiuliza inakuwaje una mke ndani alaf unafanya hekaheka zote hizo,sijaona sehem ukisema hata mke alikasirika au vp ulivyotoka nje usiku.
Hahaha fala wewe nimecheka aise sasa hv...sku nzima sikua nimechekaNa ni shoga
Aisee. Ni changamoto.Ngoja nimsaidie kusema. “Basi nilivyoenda kujifungia chooni, nikamuita mke aje kuleta sabuni na maji”
Ahsante kuelewa.Wajuaji mshaanza, je big alipolock na kufuli pale koridoni ilikuwa sehemu ya ngapi? Umejiulza kabla hajakulupushwa na jirani mwenye Duka kule dirishani alienda kumgongea babu yako? Note that dhumuni la Uzi the main character ni Biggie asa we unataka asumulie kila kitu, yaani aeleze siku Ile nilikula makande na wife, kesho yake watoto nikapeleka shule ohh jumapili sebuleni wife akatenga ugali tembele? Asa si itakuwa ni tabu kila alichofanya aandike?
Daaah kubabeq..JF ni nouma aise 😀😀😀Ngoja nimsaidie kusema. “Basi nilivyoenda kujifungia chooni, nikamuita mke aje kuleta sabuni na maji”
Mzee baba angusha mzigoAisee. Ni changamoto.
Nadhani point hii ndio inasababisha watu wawe na waswasBinafs mm n mpenda story so iwe ya kutunga au kweli mm huwa naifatilia,kinachonikwaza n pale story ya kutunga inavyopewa jina la true story,
Kwenye hii story najiuliza inakuwaje una mke ndani alaf unafanya hekaheka zote hizo,sijaona sehem ukisema hata mke alikasirika au vp ulivyotoka nje usiku.
Kazi nzuri sana mkuu keep it upAhsante kuelewa.
Sawa mkuu,nmekuelewa vyema sanaKukasirika kwake kunahusiana vipi na matukio yanayoendelea? Au wataka niandike na mtoto akalia nikambembeleza. Mke akaomba hela ya mboga nikampa?
Naandika kile pekee ninachokiona muhimu katika mtiririko wa tukio la jirani peke yake. Matukio madogomadogo ama mengine ambayo hayana impact yoyote katika mtiririko wa lengo langu sitayatamka na hutayaona popote pale.
Mpaka hapo umemuona huyo mwanamke na hilo tukio basi ujue lilikuwa la lazima na utaona connection yake huko mbele.
naona unaanza ku UNTURNED every stone[emoji58][emoji58][emoji58]View attachment 2508839
Sielewi nini?Unasoma ila huelewi
Ukijibu kila mtu utashindwa kuendeleaAisee. Ni changamoto.