Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Watu wangepunguza kuchat katika hizi nyuzi za story.
Mtu unaacha page ya 60 ukifungua unakuta page ya 80, unajipa matumaini ya kukutana na episode kadhaa halafu unaambulia mi comment ya watu tu inayotongozana na kukosoa uzi.
Watunzi wanapenda hivyo watu wanavyojibishana.
 
Muwe wapole anawaweka wahusika mnaowataka akikamilisha matakwa yenu ataendelea...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya bonus kuna lolote lile litakalojiri!

BIGI POPPER anatishia amani hivi tarimo atapona kweli na alimzingua nini BIGI...Huyo Bembela je? Alifanikiwa kumpata mtaalamu sahihi au ndio chanzo cha kufikwa na umauti? Na ile coin chuma ulete mfukoni kwako mtunzi wa hii kitu iliendelea kukusafisha au ulipata ufumbuzi juu ya hili...Yule bibi wa hospitali hukupata kumwona tena...Je ulipojikonekti na mjumbe wa BIGI mlangoni kwake nini kilifuata kwenye familia yako.....

Hii kitu bado ipo ON TRANDING - BIGI WA GOBA MFUGA MISUKULE endelea kushusha vitu SteveMollel kazi nzuri...
 
Back
Top Bottom