Jirani yangu

Jirani yangu

Kinachokusumbua ni ushamba na ww ndio unamtaka pole sana maana skuhizi vijana wanaojielewa hawana muda na madem wabovu
Hakuna mtu anamuda naye mwanaume unamwendea mwanamke Kwa waganga hiyo ni sawa ?? Eti nitengeneze anifuate kweli maisha haya , mie nakujibu short tu , sinaga time na neighbors na mambo Mengi , Wala muda wakuwaza wanaume nipo busy
 
Mimi naishi na familia yangu tumepanga, basi bhana jirani yetu ni handsome sana ila mkorofi na mchungu but anapendeza sana .

Siku Moja alinikuta na mwanaume best yangu akawa Hana amani amezoea kunisalimia ila hiyo siku hajanisalimia sijui nikwanini Huwa hapendi nikiongea na wanaume ila haongei kitu Huwa na mshangaaga sana nini shida ??

Kiukweli sijui Nini shida ??
Maisha ni kuongea kuwa na uhuru ila Hana uhuru ni mkimya sana . Alikuwa anapaki mahali pengine ila Kwa Sasa anapaki karibu na kwetu ila haongei yupo kimya tu .


Haongei anataka Nini . Sasa anakuwa mubaya maana hataki niwe na wanaume na Wala haongei chochote kuwa ananipenda Wala ila dalili anazionyesha na anaharibu mahusiano yangu maana huenda mahali kuhakikisha Sina mahusiano na yeyote nifanyaje??
Juzi kaja na kifua wazi karibu na dirisha letu akijifanya yupo busy kikazi anaongea na simu hii Nini??


Na siwezi kumpenda mana kaoa tayari ila mke ndio haishi naye yupo huku kikazi.

Hawa ndo wanawake, basi tu ni dhambi ku support kataa ndoa family
 
Back
Top Bottom