JEJUTz
Member
- Aug 22, 2024
- 75
- 197
It's JEJUTz here!
Ni kweli kabisa ni jambo zuri kuoneka mtanashati na mrembo popote uonekanapo.Ni jambo jema kuonekana wa kisasa na unaependeza kwa mpangilio wa mavazi yako l.
Ila kuna hii issue moja huwa ni kero na ni nadra mtu kukuambia ila ukweli watu huumia na kugugumia moyoni kimya kimya.
Ni issue ya manukato na perfume! Haijalishi unatumia perfume ya bei gani au unatumia marashi mazuri kiasi gani. Chonde chonde jitahidi kutumia kwa kiasi.
Watu tumeumbwa tofauti wewe utumiapo hayo marashi kwa wengine huwa ni kero kubwa. Hivyo basi ili kutowakera wengine tumia kwa kiasi.
Imekuwa ni kawaida watu wana-missuse matumizi ya hayo makitu badala yake wanatusababishia flu,kikohozi na vichwa kuuma na baadae tunakimbilia kwenye maduka ya dawa na dispensary zilizopo karibu sababu yenu ili kujinusuru.
Guys najua mnapenda kunukia vizuri ni jambo jema kabisa. Ila wafikirieni na wengine .Kuna watu mnawatesa sana mnapokutana nao ingawa wanashindwa kuwaambieni.