Jitahidi manukato na marashi yasiwe kero kwa wengine

Jitahidi manukato na marashi yasiwe kero kwa wengine

JEJUTz

Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
75
Reaction score
197
It's JEJUTz here!

Ni kweli kabisa ni jambo zuri kuoneka mtanashati na mrembo popote uonekanapo.Ni jambo jema kuonekana wa kisasa na unaependeza kwa mpangilio wa mavazi yako l.

Ila kuna hii issue moja huwa ni kero na ni nadra mtu kukuambia ila ukweli watu huumia na kugugumia moyoni kimya kimya.

Ni issue ya manukato na perfume! Haijalishi unatumia perfume ya bei gani au unatumia marashi mazuri kiasi gani. Chonde chonde jitahidi kutumia kwa kiasi.

Watu tumeumbwa tofauti wewe utumiapo hayo marashi kwa wengine huwa ni kero kubwa. Hivyo basi ili kutowakera wengine tumia kwa kiasi.

Imekuwa ni kawaida watu wana-missuse matumizi ya hayo makitu badala yake wanatusababishia flu,kikohozi na vichwa kuuma na baadae tunakimbilia kwenye maduka ya dawa na dispensary zilizopo karibu sababu yenu ili kujinusuru.

Guys najua mnapenda kunukia vizuri ni jambo jema kabisa. Ila wafikirieni na wengine .Kuna watu mnawatesa sana mnapokutana nao ingawa wanashindwa kuwaambieni.
 
Nyie majini kwangu ni watu wadogo mno zaidi ya chembe ya mchanga😁
unatupa shida sana.

Basi nimekumbuka kipindi niko sekondari mama alikuwa amesafiri nikaiba perfume yake nikajipulizia ipasavyo nikaenda zangu church. Kiukweli nilijishtukia kwamba nimezidisha kiwango, na ile perfume ilikuwa na ukali si haba.
Nikawa nimekaa na dada mmoja nilihisi kabisa nampa shida ya ile harufu. Hadi leo miaka mingi imepita nikikutana na yule dada(sasa hivi ni maza mtu mzima) lazima nikumbuke hili tukio.
 
Ila manukato mazuri hayawezi kumkera mwingine kuna mpaka manukato kwa ajili ya maiti na yanauzwa kwenye maduka ya bidhaa za kawaida tu ,usipo kuwa makini ni rahisi mno kuyanunua.
 
It's JEJUTz here!
Ni kweli kabisa ni jambo zuri kuoneka mtanashati na mrembo popote uonekanapo.Ni jambo jema kuonekana wa kisasa na unaependeza kwa mpangilio wa mavazi yako l.

Ila kuna hii issue moja huwa ni kero na ni nadra mtu kukuambia ila ukweli watu huumia na kugugumia moyoni kimya kimya .

Ni issue ya manukato na perfume!!
Haijalishi unatumia perfume ya bei gani au unatumia marashi mazuri kiasi gani. Chonde chonde jitahidi kutumia kwa kiasi .

Watu tumeumbwa tofauti wewe utumiapo hayo marashi kwa wengine huwa ni kero kubwa. Hivyo basi ili kutowakera wengine tumia kwa kiasi.

Imekuwa ni kawaida watu wana-missuse matumizi ya hayo makitu badala yake wanatusababishia flu,kikohozi na vichwa kuuma na baadae tunakimbilia kwenye maduka ya dawa na dispensary zilizopo karibu sababu yenu ili kujinusuru.

Guys najua mnapenda kunukia vizuri ni jambo jema kabisa. Ila wafikirieni na wengine .Kuna watu mnawatesa sana mnapokutana nao ingawa wanashindwa kuwaambieni.
Mimi huwa naumwa mafua kabisaaa pafyumu ikiwa kalii
 
mkuu sisi na giza hatupatani kasome yohana 1:4 utastaajabu mambo yaliyo andikwa mule

(NAISUBIRIA JERUSALEM MPYA YA KRISTO YESU)
Mkuu mimi sikupingi kabisa hiyo pombe unayokunywa wewe leo, naijua ladha yake toka miaka ya 80😁
 
Perfume au deodorant zinatakiwa kupulizwa kwa wingi mpaka ukitokea kwenye Kona hata kabla hujafika wanajua maweed anakuja
 
Uko vizuri
Binafsi kwangu napenda manukato haijalishi wewe hauyapendi au unapenda mimi nitajifurahisha kwa kujipulizilia tu ili mradi yanananifurahisha kwa pua yangu
 
Back
Top Bottom