Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca

Mkifa mapema muanze kuwasingizia wajane uchawi wa kuwaua waume zao
Hao wanakuwa na kuzeeka pamoja.

Kwamba hujui ukuaji wa mwanaume na mwanamke ni tofauti?

Yaani mwanaume let say awe na miaka 25 halafu aoe mwanamke wa miaka 25 baada ya miaka 10 ama 20 huyo mke atakuwa kama mzazi wa mumewe maana ataonekana kuzeeka kuliko mumewe.

Interval ya miaka 10 bado ni ndogo inatakiwa mume ampite mkewe sio chini ya miaka 15 nakuendelea.
 
Duh!
 
Acha kujidanganya mkuu. Mjane wa nyerere hakuzeeka nae,wa mwinyi etc mnaishia kulalamika wanaume wanawahi kufa wakiwaacha wake zao
 
Tatizo uliowazidi miaka 10 kuwaweka ndani ni sawa na kuweka kunguru, atapeperuka tu na kukusulubu nafsi yako kwa matukio. Maana ya nje atayataka na ndani kunambana.

Bora ujichukulie hii hii minung'aembe kama ya JF ishapigika na maisha, ishaonja kila size na rangi, ishasulubika na matukio. Ukiliweka ndani linaona kama limepata last chance in life.
 
Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca.

Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana .

Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana .

Na itakuongezea heshima

35 Yrs Jux
23 Yrs Prisca.
Kipande hiki kidogo tu kinaonyesha jamaa hayupo comfortable

Cheki body language, ***** mwamba kabananishwa mpaka amekalia tako moja, na wala hayupo huru, akitaka kukaa free anavutwa.

Kwa akili ya darasa la tano tu unajua ni nani DOMINANT hapo.

Sasa kama kwenye public eyes unakalia tako moja, huko ndani itakuaje?


View: https://youtu.be/5uhKBddShDs?si=dmUulfj1Vo185PA8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…