Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Ukioa mnaelingana umri ndio hauwezi kupata majuto? Ifike hatua mashangazi wa jf mliopo 30+ mkubaliane na ukweli kwamba mshakua outdated kwenye dating pool. Biology is not feminist. Time doesn't negotiate.Mawazo yako tu na pia Kila mtu na machaguo yake unaweza oa huyo mdogo na usipate kile ulichotegemea ukaishia kupata majuto
Ukiangazia kigezo cha umri tu na kuachana na masuala mengi ambayo ni subjective, kuoa mke ambae umemzidi miaka mingi kuna faida kubwa zaidi ya kuoa ambae mnalingana.
Biological clock ya mwanamke inaenda haraka kwaiyo anawahi kupoteza uzuri na kufika menopause. Mwanamke anaingia kwenye dating pool mapema sana ukilinganisha na mwanaume kwaiyo ukioa mke ambaye mnalingana umri anakua amekuzidi uzoefu,