Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Ukioa mnaelingana umri ndio hauwezi kupata majuto? Ifike hatua mashangazi wa jf mliopo 30+ mkubaliane na ukweli kwamba mshakua outdated kwenye dating pool. Biology is not feminist. Time doesn't negotiate.Mawazo yako tu na pia Kila mtu na machaguo yake unaweza oa huyo mdogo na usipate kile ulichotegemea ukaishia kupata majuto
FafanuaPia asiwe single mother
ndo nyie mtakuja kuleta Uzi wa kujadili kwann jux kapigwa chini mahusiano hayaeleweki hayana formula ukipatia wewe usifosi watu wote wapitie njia zakoJitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca.
Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana .
Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana .
Na itakuongezea heshima
35 Yrs Jux
23 Yrs Prisca.
Mbona kwa Haji Manara haijafanya kazi anaoa wasichana anaowazidi umri zaidi ya miaka 10 lakini hadumu nao tena wanaachana kwa maskendali.Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca.
Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana .
Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana .
Na itakuongezea heshima
35 Yrs Jux
23 Yrs Prisca.
Vitoto vidogo havina diliTatizo uliowazidi miaka 10 kuwaweka ndani ni sawa na kuweka kunguru, atapeperuka tu na kukusulubu nafsi yako kwa matukio. Maana ya nje atayataka na ndani kunambana.
Bora ujichukulie hii hii minung'aembe kama ya JF ishapigika na maisha, ishaonja kila size na rangi, ishasulubika na matukio. Ukiliweka ndani linaona kama limepata last chance in life.