Jitahidi usifike miaka 30 bila kuoa au kuolewa

Jitahidi usifike miaka 30 bila kuoa au kuolewa

Tena A Saint Lunatic 😀
I will never be sacrificed kirahisi🤓
FB_IMG_16854885764003555.jpg
 
Leo una mume jirani wakati najua upo Single lkn sio kivile, hebu fungua kidogo mlango, tuyajenge.😅😅
Tuyajenge kwani uliambiwa yamebomoka 😂😂😂
Mi niwe single na watoto wa kizimkazi wakiojaa..?? Hebu jirani kuwa serious
 
Tuyajenge kwani uliambiwa yamebomoka 😂😂😂
Mi niwe single na watoto wa kizimkazi wakiojaa..?? Hebu jirani kuwa serious
Watoto wakizimkazi hao hawana mbavu kubwa, mfuko wao wakawaida, halafu PAYE zetu ndio wanazikopa sana. Jirani kwahio wewe upo taken lakini sio kivile.😅😅
 
Watoto wakizimkazi hao hawana mbavu kubwa, mfuko wao wakawaida, halafu PAYE zetu ndio wanazikopa sana. Jirani kwahio wewe upo taken lakini sio kivile.😅😅
Jirani uliaga unaenda kulala haya usiku mwema.!!
Watoto wa kizimkazi ni wote wanaoishi tz hii, ww umeelewa vibaya jirani 😂😂😂
 
Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single.

Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa.

kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia.

Bro kama ukipata soulmate wako usichelewe. Anza nae maisha hata kama mtakua mnaishi kwa room moja muanzie hapo mkue pamoja.
Hakuna umri sahihi wa kuoa au kuolewa, ukimpata mtu sahihi iwe ni una miaka 18 au 42 we oa tu

Maana ukipata wife material au husband material ni ngumu kupata tena, hivyo ishi nae huyo huyo
 
Hakuna umri sahihi wa kuoa au kuolewa, ukimpata mtu sahihi iwe ni una miaka 18 au 42 we oa tu

Maana ukipata wife material au husband material ni ngumu kupata tena, hivyo ishi nae huyo huyo
Mleta Uzi nadharia zake ni za kwenye Sinema huyo nimem quote hapo juu nimempa nondo za nguvu nadhani anazitafakari Sasa hivi
 
Back
Top Bottom