ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Sifa ya mwanaume ni kupambana jizime data usichague kazi pambana kijana maisha mazuri hayakufati yanatafutwa.Kwa nini mkuu, hutaki nikae kwetu unataka nikae wapi?. Kama Sina mke au mtoto kunahaja yakupanga au nijenge nyumba nyingine nahuku Sina kazi, hizo pesa nazitoa wapi?. Ngoja niendelee kujitafuta labda nikifikisha miaka 50/60 naweza nikaenda kupanga.
Lamomy nakuomba nihifadhi jirani, sintopanga nyumba nyingine zaidi yahapo kwako.