ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Sifa ya mwanaume ni kupambana jizime data usichague kazi pambana kijana maisha mazuri hayakufati yanatafutwa.Kwa nini mkuu, hutaki nikae kwetu unataka nikae wapi?. Kama Sina mke au mtoto kunahaja yakupanga au nijenge nyumba nyingine nahuku Sina kazi, hizo pesa nazitoa wapi?. Ngoja niendelee kujitafuta labda nikifikisha miaka 50/60 naweza nikaenda kupanga.
Lamomy nakuomba nihifadhi jirani, sintopanga nyumba nyingine zaidi yahapo kwako.
Virtual jf is coming ππ€Yaani hapa Niko busy kuandaa midocument na halafu najisikia kuishi humu JF muda hii π
Familia ni kitu muhimu maishaniNitafurahi zaidi Mungu akisaidia miaka mi 3 kabla ya kufika 30 niwe tayari na mke na mtoto mmoja awe yeyote wakiume au wakike
Maisha bila familia ni meaningless kabisa
Shida unastuka maji shingoni tiyari. Ndomana mdau juu hapo kasema angerudishwa 5 years back asingerudia kuoa tena. Lakini kuzaa na wanawake wengi nayo italeta shida baadae, tatzo juu ya tatzo mkuuD
Dunia ilipo kwa Sasa ukiwa na furaha tu na maisha yako inatosha. Haya Mambo ya kuoa na kuolewa si lazima Sana. Tafuta furaha. Yaani umnunue mtu aje kukupa furaha? Happiness isn't guaranteed in marriage.! Tafuta watoto kwa idadi unayotaka huko nje then furahia maisha yako bila kero za mtu mwingine. Kwanini uwe committed kwa mke au mme? Faida Ni Nini hasa? Ukihitaji, unakwenda unatafuta mmoja mzuri unamaliza unarudi kwako maisha yanaendelea.
BalaaMie nilitaka kuchinjwa Kabisa....nilikimbilia mahakamani badala ya kituo cha police..,,,Nasema hiviii..,,,taratibu ndiyo mwendooo
Jiran utanikuta mlango kwako asubuhi maana umegoma kugungua.πJirani uliaga unaenda kulala haya usiku mwema.!!
Watoto wa kizimkazi ni wote wanaoishi tz hii, ww umeelewa vibaya jirani πππ
Haya mkuu, wewe una umri Gani?.Sifa ya mwanaume ni kupambana jizime data usichague kazi pambana kijana maisha mazuri hayakufati yanatafutwa.