Jitibu U.T.I kwa mmea huu kwa matokeo yenye ufanisi zaidi

Jitibu U.T.I kwa mmea huu kwa matokeo yenye ufanisi zaidi

Wakuu habari za leo ! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki.

Nimekaa na kufikiri ni jinsi gani wazee wetu walikuwa wataalamu Wa tiba asilia lakini walikuwa wagumu sana kufundisha watu wakaribu yao ,matokeo yake walikufa na maarifa yao,kwa Leo Mimi sitaki kufanana na hao wahenga...
Huu mmea ni tofauti na kashwagara uliovuma sana mwanzoni mwa 2000 kwa ajili ya mchanganyikowa kujifukiza??
 
Huu sisi tunaita MPATAKUVA muulize mzanzibar hasa Mpemba atakwambia mbali na hilo lakutibia u.t.i pia ni dawa ya tumbo mzuri sana kabisa ukihisi unatafunwa ni tumbo ikiwa lá kuhara au lolote unalojuwa wewe isipokuwa lá njaa basi chuma na kuchemsha majani yake epua badaaye kunywa au baada ya kuchuma osha majani na uyatwange chukua weka kikombeni na maji kisha unywe maji yake.. Mimi ninao na umekuwa vizuri kabisa.
Tafadhali weka picha mkuu maa ile ya mwanzo Kama ni ua la kutambaa
 
Mpatakufa..
Ni bonge moja ya dawa km unasumbuliwa na mafua chuma jani litafune kisha weka puani kama unanusa katika tundu zote.

Ni chungu kiasi ila kwa mafua na kuumwa tumbo hii dawa ndio kiboko yake.
Safi mkuu ingawa sisi kwetu tunatamka mpatakuva

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu kuna mtu ni mwenyeji wa Marangu Kilimanjaro anafahamu jina la huo mmea kwa huku wanaitaje?
 
Unaitwa mzungwa ni dawa ya PID kwa kina dada ni dawa pia ya uzazi kwa wanao tafuta mtoto pia ni dawa ya madonda ya tumbo na mengine mengi tu.

Kwa wale wenye PID unachuma majani yake unayatwagwa maan ukiyachesha unaimaliza dawa nguvu,hvo unachuma majani unayatwagwa na kuyaroweka ndan ya masaa 12 then unatumia kikombe cha chai asubuhi na jioni.

Na kwa wale wenye kutafuta mtoto wanatumia wakat wa priod kuanzia siku unayo ingia adi unapo toka.

Matumiz ni kutwa mara 3 kikombe cha chai unaweza kuyasaga kwa blenda na kutengeneza juice

Ukitumia miezi 3 kama hakuna shida nyingine kwa kizazi basi inshallah utafanikiwa,

inakomaza mayai na inabalance hormon

Hakikisha kushiriki na mwenza wko wakat wa sku za hatari[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom