Jitibu U.T.I kwa mmea huu kwa matokeo yenye ufanisi zaidi

Jitibu U.T.I kwa mmea huu kwa matokeo yenye ufanisi zaidi

U
Huo mmea unaitwa "Umulavumba" kwa Kiha .... Tangu utoto nilikuwa nausikia kwa waliotutangulia, siku za hivi karibuni niliamua kuupanda na kujaribu uwezo wake katika tiba, ukisha yatafuna hayo majani ni machungu kuliko kawaida, ndani ya dakika moja utalazimika kuyatema kwani yanawasha na kuunguza kuliko hata pili pili.... Kinachofuata hapo ni kamasi na udenda ukitoka wangu wangu.

Huo mmea kwa vitu kama mafua, kikohozi, vidonda mdomoni ni kanchinya.... breki za nyuma!😎 Nina mpango wa kuupeleka kwa mkemia mkuu ili waufanyie mchakato ili kujua umejengwa na nini.... Inawezekana kabisa hata jamaa yetu UVICO anaweza kudhibitiwa na mmea huu.
Wewe uvaa Ikigoma see😁😁😁😁😁😁Twanze kwi londola
 
Hii ni dawa safi sana,kwetu tunauita mkingili(ikingili) ukiacha magonjwa madogomadogo mengi ambayo mmea huu huweza kutibu kwa mafanikio makubwa nilipata jingine kwa rafiki yangu muhindi,yeye kwake ameyapanda kila sehemu kuzunguka ua wake.

Nikamuuliza kwa nini ameyaweka mengi kuliko maua mengine mazuri? Yeye akanijibu kuwa kwanza ni tiba ya magonjwa mbalimbali,lakini zaidi huwa anayatumia kiimani zaidi, anasema ukiwa na mimea hiyo nyumbani kwako basi watu wenye macho mabaya(ya husda) ambayo huleta madhara kwa watu na vitu hudhibitiwa barabara.

Anasema hata kama mchawi akija kwako kwa lengo baya basi mmea huu humfanya ashindwe kutimiza lengo lake,wachina pia wanauheshimu sana mmea huu kwa sababu kama hizo hizo, wao pia hudai kuwa mmea huu ukiupanda nyumbani huleta bahati njema, wahindi wa jamii ya ki hindu huchuma majani yake na kuyafunga pamoja na majani ya mwembe na kuyatundika mlangoni kama kinga dhidi ya wote wanaoingia ndani ya nyumba zao, hasa siku za sherehe au shughuli zinazokutanisha watu wengi,asante
Wakuu kuna mtu ni mwenyeji wa Marangu Kilimanjaro anafahamu jina la huo mmea kwa huku wanaitaje?
Ikingili kitu ya Madagascar.
 
Unaitwa mzungwa ni dawa ya PID kwa kina dada ni dawa pia ya uzazi kwa wanao tafuta mtoto pia ni dawa ya madonda ya tumbo na mengine mengi tu

Kwa wale wenye PID unachuma majani yake unayatwagwa maan ukiyachesha unaimaliza dawa nguvu,hvo unachuma majani unayatwagwa na kuyaroweka ndan ya masaa 12 then unatumia kikombe cha chai asubuhi na jion

Na kwa wale wenye kutafuta mtoto wanatumia wakat wa priod kuanzia siku unayo ingia adi unapo toka

Matumiz ni kutwa mara 3 kikombe cha chai unaweza kuyasaga kwa blenda na kutengeneza juice

Ukitumia miezi 3 kama hakuna shida nyingine kwa kizazi basi inshallah utafanikiwa,

inakomaza mayai na inabalance hormon

Hakikisha kushiriki na mwenza wko wakat wa sku za hatari[emoji120][emoji120]
Stay blessed
 
Huo mmea unaitwa "Umulavumba" kwa Kiha .... Tangu utoto nilikuwa nausikia kwa waliotutangulia, siku za hivi karibuni niliamua kuupanda na kujaribu uwezo wake katika tiba, ukisha yatafuna hayo majani ni machungu kuliko kawaida, ndani ya dakika moja utalazimika kuyatema kwani yanawasha na kuunguza kuliko hata pili pili.... Kinachofuata hapo ni kamasi na udenda ukitoka wangu wangu.

Huo mmea kwa vitu kama mafua, kikohozi, vidonda mdomoni ni kanchinya.... breki za nyuma!😎 Nina mpango wa kuupeleka kwa mkemia mkuu ili waufanyie mchakato ili kujua umejengwa na nini.... Inawezekana kabisa hata jamaa yetu UVICO anaweza kudhibitiwa na mmea huu.
Sio kwamba umeufananisha? Mravumba mbona kama sio huo? Mravumba ule hata marelia au shida ya tumbo kwa mtoto au mtu mzima inabaki historia. Ukizidisha dozi unaweza kwenda na maji
 
Sio kwamba umeufananisha? Mravumba mbona kama sio huo? Mravumba ule hata marelia au shida ya tumbo kwa mtoto au mtu mzima inabaki historia. Ukizidisha dozi unaweza kwenda na maji
Huu pia malaria inatibika mkuu
 
Sio kwamba umeufananisha? Mravumba mbona kama sio huo? Mravumba ule hata marelia au shida ya tumbo kwa mtoto au mtu mzima inabaki historia. Ukizidisha dozi unaweza kwenda na maji
Inawezekana kuwa nimeufananisha, lakini nimepata maoni ya watu wawili wanaoufahamu Mlavumba na kuona mlingano, ila nimeweka picha halisi ya Mlavumba kwenye uzi huu.
 
Inawezekana kuwa nimeufananisha, lakini nimepata maoni ya watu wawili wanaoufahamu Mlavumba na kuona mlingano, ila nimeweka picha halisi ya Mlavumba kwenye uzi huu.
Hebu ipandishe hapa hiyo picha. Maana mlavumba majani yake yamekoleza tofauti na hayo aliyoleta mtoa mada
 
Hebu ipandishe hapa hiyo picha. Maana mlavumba majani yake yamekoleza tofauti na hayo aliyoleta mtoa mada
IMG_20210315_074349_645.jpg
 
Huu mmea ninao nyumbani nikaambiwa tu ni dawa ya tumbo la akina dada. Pia mtu mwingine alisema kuna aliyetumia akapona kansa. Tatizo sikufahamu ilikuwa ni cancer ipi au inatibu zote. Mungu anetupa mengi mazuri. Ninatamani moderator waanzishe forum ya dawa Asili ili kujifunza. Conventional medicines zitatumaliza mno. Tumekuwa vilema wa madhara ya madawa ya HospitaI wakati kuna tiba asili effective kabisa.
 
Back
Top Bottom