Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malizia. Inapandisha au kushusha sukari na presha. Ukikamilisha sentensi yako itasaidia ambao wanajua status za magonjwa uliyotaja. ShukraniUnaitwa MPATAKUFA/MPATA KUVA.
Sio UTI tu. HATA Typhoid ila Kama Ni mgonjwa wa kisukari au presha Pima Kwanza
[emoji120]Stay blessed
Ahsante mkuu kwa maelekekezo huu uvivu was kuandika ndo unasababisha kuandika Kama ninekimbizwaMalizia. Inapandisha au kushusha sukari na presha. Ukikamilisha sentensi yako itasaidia ambao wanajua status za magonjwa uliyotaja. Shukrani
Ulakoze nawe mwenewachu.
Elezea maajabu yake Mkuu wangu. Itasaidia wengi. Siku hizi nimerudi Eden kabisa maana hospital ni kutupunguzia umri wa kuishi tu kwa madhara ya madawa ya kizungu.
Huu mti unaitwa mpatakufa/mpata kuva/ oregano unatibu u.T.I, typhoid. Kwa wagonjwa wa kisukari na presha kuwa makini ktumia kwani hushusha sukari ghafla na kuipandisha presha ghafla yaani hufanya kiwango cha maradhi hayo kisiwe stable jambo ambalo ni hatari kwa wenye nayo.
Asante kwa angalizo mkuu, ila namshukuru Mungu nipo fit kabisa hayo mengine sina.Huu mti unaitwa mpatakufa/mpata kuva/ oregano unatibu u.T.I, typhoid.Kwa wagonjwa wa kisukari na presha kuwa makini ktumia kwani hushusha sukari ghafla na kuipandisha presha ghafla yaani hufanya kiwango cha maradhi hayo kisiwe stable jambo ambalo ni hatari kwa wenye nayo.
Sawa mkuu.kwakua HUNA HAYO hutahisi shida yoyoteAsante kwa angalizo mkuu, ila namshukuru Mungu nipo fit kabisa hayo mengine sina.
Dawa ya CoronaMpatakufa..
Ni bonge moja ya dawa km unasumbuliwa na mafua chuma jani litafune kisha weka puani kama unanusa katika tundu zote.
Ni chungu kiasi ila kwa mafua na kuumwa tumbo hii dawa ndio kiboko yake.
Huu mti unaitwa mpatakufa/mpata kuva/ oregano unatibu u.T.I, typhoid. Kwa wagonjwa wa kisukari na presha kuwa makini ktumia kwani hushusha sukari ghafla na kuipandisha presha ghafla yaani hufanya kiwango cha maradhi hayo kisiwe stable jambo ambalo ni hatari kwa wenye nayo.
Oregano hata mimi huwa nachemsha mara kwa mara na kunywa kama chai na kijiko kimoja cha asali. Huwa inaclear sinus na kufungua kifua vizuri sana.Asante kwa angalizo mkuu, ila namshukuru Mungu nipo fit kabisa hayo mengine sina.
Huo wa super market hauna afya tuu lakini ndo huo oregano mkuu,na ukipandwa sehemu yenye rutuba majani yake huwa mapana ZAIDI.Oregano hata mimi huwa nachemsha mara kwa mara na kunywa kama chai na kijiko kimoja cha asali. Huwa inaclear sinus na kufungua kifua vizuri sana.
Lakini naona huo uliopandwa hapo ni tofauti kidogo na huu ninaonunuaga. Huo inaonekana majani yake ni makubwa kidogo. Asanteni kwa maarifa haya.
View attachment 1732128
Sijakuelewa mkuu,ikingili ni lugha ya Kiswahili au? Wewe ni mwenyeji wa Marangu? Kuna mmea tunaita Ombo kule,je ndiyo huo?
Wakuu habari za leo ! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki.
Nimekaa na kufikiri ni jinsi gani wazee wetu walikuwa wataalamu Wa tiba asilia lakini walikuwa wagumu sana kufundisha watu wakaribu yao ,matokeo yake walikufa na maarifa yao,kwa Leo Mimi sitaki kufanana na hao wahenga...
Niyenyewe mkuu